Let's Discuss

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
5,298
7,646
Apart from Sex,what can a woman offer in a love relationship?By Trevor Noah!
 
Unaongelea wanawake wa wapi mkuu?
Kama ni wakina Ashura ndalandefu hakuna kingine wanachoweza ku-offer
Hapana mkuu naongelea wote in General hata waajiriwa wa NGos,Bank,Wizarana nk, na kila mwanamke ambaye sijamuweka humu.Offer zao.
 
Inategemeana umekutana na mwanamke wa wapi au nchi gani.

Fikiria unakutana na mdangaji, unadhani atakushauri hata mambo ya business kweli?
Atachowaza ni umpe pesa tu again and again.
Ila ukikutana na mtoto mjanja atakushauri vizuri na hutojutia.
Apart from Sex,what can a woman offer in a love relationship?By Trevor Noah!
 
Mwanamke, mwanamke!!mpe mbegu atakupa mtoto,mpe mtaji atakupa faida,mpe uaminifu atakupa upendo(siyo mapenzi wewe). Mpe mchele sasa utachoka na roho yako!wali,pilau,vitumbua nk. Ukimpa nyumba atakutengenezea nyumbani.
Mnawaandareti tu wamama wakati mnajua kabisa kile mama zenu wamewapa..uhai.
 
Back
Top Bottom