Nimekutanishwa na binti wa mchepuko wangu(mke wa mtu) ,inahitaji moyo sana

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
===UPDATES==
Yametimia...lakini haikuwa rahisi sababu alisema hanywi pombe halafu ana mitihani kuanzia tarehe 8 Julai hivyo hantokaa sana anakwenda kujisomea.....nikambembeleza sana akakubali kunywa Saint Anna wine chupa moja na samaki wa foil mkubwa na chipsi....mimi nilikuwa nagonga KVant kubwa aka Muwa...baada ya muda stori zikanoga ..sasa akawa hanionei aibu, akiongea mara ananishika mikono na kunigusa gusa kila wakati nikajua tayari ameshaelekea kibra....Mida ya saa tano usiku tukatoka pale Diamond sijui Lounge sijui Bar -kona ya bwiru tukaenda hotelini kwangu akaongeza savannah tatu..nami kvant ndogo....ghafla tukajikuta kumekucha tukiwa kama tulivyozaliwa..sikumbuki kilichotokea...nikampa hela ya matumizi ya shule....na sasa rasmi nitakuwa namtumia kila baada ya muda....Nimemkanya asimwambie mama yake kamwe asilani abadani kwani pamoja na kuwa mchepuko lakinipia ni majirani kiaina flani

==END OF UPDATES=====

Wadau mambo ni mengi muda mchache. Nina mchepuko wangu ambaye pia ni mke wa mtu .Sasa nilimwambia nakwenda Mwanza kikazi akaniambia binti yake anasoma chuo (sintokitaja) hivyo kama vipi nikamsalimie kiaina hivyo akanipa namba yake nikamwambia sawa...akanionya kwamba nisije kufanya chochote kibaya yeye atajua na itakuwa balaa kati yetu, akampigia simu akamwambia mimi ni uncle jirani asiwe na wasiwasi ...sasa jana jmosi nikakutana naye duh ni mrembo balaa...chura na sura ni kama mama yake lakini yeye bado mteke teke....akaja na wenzie wawili wazuri pia ,mate yalinidondoka mpaka basi lakini nikajifanya sina njaa lakini hali ilikuwa mbaya sana...nikatoka nao nikawampa good time kichizi hapa Rock City wakarudi chuo salama. Sasa leo nimemwambia aje peke yake kuna kila dalili za kumgegeda ...naomba ushauri wakuu ...nitakuwa nimeharibu au nimgonge tu liwalo na liwe? naomba ushauri wenu wakuu nakutana naye masaa mawili kuanzia sasa....manake mama yake ingawa umri umekwenda lakini mtamu balaa...najaribu kuvuta hisia kwa binti itakuwaje wakuu
 
Expert Judgement

JF-Expert Member
May 29, 2019
386
1,000
mama'ake akijua usije kutusumbua kuomba ushauri

mnyana

Member
Aug 10, 2017
95
125
Malipo ni hapa hapa duniani iko cku mkeo na watoto wataliwa hivohivo na zaid ya hivo, usiruhusu tamaa zako zikupe bad future
Wadau mambo ni mengi muda mchache. Nina mchepuko wangu ambaye pia ni mke wa mtu .Sasa nilimwambia nakwenda Mwanza kikazi akaniambia binti yake anasoma chuo (sintokitaja) hivyo kama vipi nikamsalimie kiaina hivyo akanipa namba yake nikamwambia sawa...akanionya kwamba nisije kufanya chochote kibaya yeye atajua na itakuwa balaa kati yetu, akampigia simu akamwambia mimi ni uncle jirani asiwe na wasiwasi ...sasa jana jmosi nikakutana naye duh ni mrembo balaa...chura na sura ni kama mama yake lakini yeye bado mteke teke....akaja na wenzie wawili wazuri pia ,mate yalinidondoka mpaka basi lakini nikajifanya sina njaa lakini hali ilikuwa mbaya sana...nikatoka nao nikawampa good time kichizi hapa Rock City wakarudi chuo salama. Sasa leo nimemwambia aje peke yake kuna kila dalili za kumgegeda ...naomba ushauri wakuu ...nitakuwa nimeharibu au nimgonge tu liwalo na liwe? naomba ushauri wenu wakuu nakutana naye masaa mawili kuanzia sasa....manake mama yake ingawa umri umekwenda lakini mtamu balaa...najaribu kuvuta hisia kwa binti itakuwaje wakuu
 
kayaman

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
4,235
2,000
Na baba yake huyo binti yuko Mwanza ukienda kumtia huyo demu hakikisha unabeba Vaseline ili usiumie sana mambo yakiwa mambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom