Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
...
Nimeanza kuwaelewa taratibu taratibu
Tafuta hela mapenzi yatakutoa damu!Mkuu nature ya kazi inanifanya nakuwa bize mda wote
Tafuta hela, wanawake ni zaidi ya uwajuavyoDaah.....
Tena akanitamkia kabisa nimeshampata mwengine ww naona uko bize tu na kutafuta pesaa hahaha nilifkiri masihara ujue
Waeleze mapema wajue, ila wabebez wapo wengi we kusanya $$$ zikitosha utapata muda wa kuwatumikia kama wapendavyo.😀Mkuu nature ya kazi inanifanya nakuwa bize mda wote
Huyo Mwanamke naye wa kutongozwa muda wowote na kukubali HANA AKILI.Wanawake muda wote wanatongozwa, sasa ukijidai huna muda, wenye muda watamkwapua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UsitutisheHabari wakuu
Twende kwenye mada.
Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.
Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.
Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.
Daah inauma..
Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.
Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...
Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.
Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.
Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.
Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.
Akili za wanawake unazijua mkuu, huenda manzi alijua jamaa ana chombo kingine hivyo anampotezea, wanawake bwana wanatafsiri kila jambo na kujipa majibu na solution wenyewe bila kujali ni sahihi ama la.Huyo Mwanamke naye wa kutongozwa muda wowote na kukubali HANA AKILI.
Wala sio wa kusifiwa kwa uhuni/umalaya huo.
Hili nalo linanifikirisha sanaWatu wanafarijiana kiaina!! Jiulize huenda kuwa bussy labda wewe ndo umea hwa bila kujua watu wengine hawahahitaji ugomvi ndo muachane, kimya kimya ushaachika!