Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Huyu bibie jaman huwa simwelewi kabisa, akifika mawenzi huwa nang'atwa, nakwanguliwa mgongo na kucha zake yan mgongoni na machale sio poa, sometimes naweza kula vibao ila baada ya hapo analegeaa tepetepe. Before nilijua ana mashetani kumbe ndo alivo baada ya kumsoma sasa daah kwa hv vibao navyokulaga waungwana siri yangu
Njia ipi nzuri ya kukabiliana na wanawake wa dizain hii? Sometimes naogopa hata kuingia uwanjan wakuu.[emoji1321]♂️[emoji1321]♂️
Njia ipi nzuri ya kukabiliana na wanawake wa dizain hii? Sometimes naogopa hata kuingia uwanjan wakuu.[emoji1321]♂️[emoji1321]♂️