Roho mbaya haijengi, upendo ndiyo msingi wa amani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Kuna mwanaume mmoja alioa wanawake wawili. Mwanamke wakwanza hakuwahi kuzaa mtoto, yaani alikuwa mwanamke tasa wakati wapili alifanikiwa kuzaa watoto wakike sita tena wazuri sana.

Yule mke wapili akawa anamnyanyasa wakwanza kwakutumia kigezo chakuwa mwenzie hazai. Alikuwa anamtukana huku akisema, "we mwanamke tasa, utapaki vitu vyako mda si mrefu na utatimka. Mungu wako ameshindwa kukusaidia."

Baada ya miaka kadha, Mungu akamjibu yule mke wa kwanza. Akapata ujauzito na akazaa mtoto wakiume. Mume alifurahi sana kwa kuwa Mungu akaibariki familia yake kwa mtoto wa kiume. Akamushukuru sana Mungu.

Mke mdogo akaanza kumuonea wivu mwenzie, kwa kuwa mtoto wa kiume alikuwa anapendwa sana na baba yake.
Baada ya miaka 4 mke mdogo akafikiri vya kumuuwa yule mtoto wa kiume.

"lazima atangulie, maana mwenzangu anapendwa sana sababu hili litoto lake!" akajisemea mwenyewe. Akayenda kwa mganga, ile akapewe dawa yakumuuwa yule mtoto. Mganga akampa dawa ya nyoka wakubwa watatu.

Akamwambia ayende usiku chumban kwa mtoto akiwa amelala na akeweke ile dawa ambayo mwisho itabadirika kuwa nyoka wakubwa. Ila akahakikishe mtoto yuko pekeyake.

Usiku akayenda na kufanikiwa kuingia chumban aliko lala mtoto, baada ya kuweka dawa nyoka wakatokeya. Akawaamuru wamuuwe yule mtoto kisha akatoka na kuenda kijiji cha jirani kulala huko.

Wale nyoka walivyotaka kum'maliza yule mtoto, wakaona malaika wawili wamesimama alipo lala mtoto. Badala ya kumuuwa wakageuza nakuenda chumba cha watoto sita wa yule mama nakuenda kuwauwa.

Kesho yule mke mdogo alirudi toka kijiji jiran na akakuta mke mkubwa analia na watu wamejaa pale nyumban. Kimoyomoyo akajisemea, itakuwa yule mshenzi kafa, litakoma kuringa. Akasogea na kisha akauliza nini kimetokea. Mke mkubwa akajibu, "nyoka watatu waliingia chumban kwa watoto wako wakike, na wameuuwa watano m'moja yupo hosipitali. Yeye ameumizwa kidogo, amesaidiwa na mtoto wangu wakiume ambao amefanikiwa kuwauwa awa nyoka.

Yule mke mdogo alilia sana kisha alikiri kwenda kwa mganga na lengo la kumuuwa mtoto wa mwenzie, ila hajuwi imekuwaje nyoka kuuuwa watoto zake.

1151550
 
Alafu rohoo mbaya ni wanawake...sijui kwanini wanawake wanakua na rohoo mbaya sana japo siyo wote.
 
Pcha uliyoweka inatsha sana...hlf kwa mwingine kwenye set up ya psychology yake, picha kama hiz zinakaaa kwa muda otherwise upate movie au usome kitabu ipoteee..😊😊..I
 
Inasikitisha sana

View attachment 1151550
Inasikitisha sana
 
Hata kama ni nayo ninamuomba Mwenyezi Mungu msamaha kabla sijalala na kukuomba aiondoe
Umenifurahisha sana....wengine wenye rohoo mbaya wanakesha kanisani kabisa. Kuna Dadangu mmoja kipindi tunasoma alikua anatunyima chakula anawapelekea watumishi.wa Bwana kanisani. Pesa ya kwenda tuition anatunyima anaenda kutoa Sadaka.
Chakula tusipoficha alfajiri kabla kuondoka kwenda kazini mchana tunashinda njaa mpaka arudi jioni kutoka job; make anazifungia chumbani kwake. Lakini huko kanisani anataka kutoa adi gari sadaka...nyumbani tunakufa njaa. Tukifunga shule bora turudi mkoani nyumbni kuliko kubaki kwake. Alisabanisha niache kwenda kanisani. Rohoo mbaya haijengi jamani
 
Ujumbe mzito, safi.
 
Kwa muda mwingine Roho mbaya inajenga kwa maisha ya kibongo bongo mana wabongo wanaroho moja ngumu sana
 
Umenifurahisha sana....wengine wenye rohoo mbaya wanakesha kanisani kabisa. Kuna Dadangu mmoja kipindi tunasoma alikua anatunyima chakula anawapelekea watumishi.wa Bwana kanisani. Pesa ya kwenda tuition anatunyima anaenda kutoa Sadaka.
Chakula tusipoficha alfajiri kabla kuondoka kwenda kazini mchana tunashinda njaa mpaka arudi jioni kutoka job; make anazifungia chumbani kwake. Lakini huko kanisani anataka kutoa adi gari sadaka...nyumbani tunakufa njaa. Tukifunga shule bora turudi mkoani nyumbni kuliko kubaki kwake. Alisabanisha niache kwenda kanisani. Rohoo mbaya haijengi jamani

Msamehe alikuwa hajui alifanyalo! Sadaka iliyokuwa bora ni ile inayoanzia nyumbani kwako,maana yake ni hii kama unataka utoe sadaka nje cha kwanza angalia watu wa karibu yako je hali zao zipo vipi.Kwa sababu unaweza ukaenda kutoa sadaka nje ndugu yako wa damu ana shida kubwa au mzazi wako ana shida kubwa,kwa hiyo sadaka ianzie mlangoni kwako kwanza na Mungu anaibariki.Baadae sasa ukivuka mipaka ya kwenda kusaidia nje hamna tabu usharidhika na watu wa nyumbani kwako wapo vizuri.Watu wa nyumbani siyo lazima tu wawe wale unaishi nao kuna ndugu pia kwenye familia.Huyo dada yako hakuwa anajua sadaka ipo vipi kuna mambo mengine pia yanatakiwa viongozi wa kidini wawafahamishe waumini namna inavyotolewa sadaka
 
Pcha uliyoweka inatsha sana...hlf kwa mwingine kwenye set up ya psychology yake, picha kama hiz zinakaaa kwa muda otherwise upate movie au usome kitabu ipoteee..😊😊..I
kama mm kuna mpuuz akinitumiaga watsap zile video mtu anachinjwa kama kuku afu wanamtoa moyo yaan napataga taabu kusahau..ni mbka niwe na kitu kingine kama ivo movie au nisome kitabu.
 
Back
Top Bottom