Si Kitanda Lala Wawili... Bali Kitendawili....

Si Kitanda Lala Wawili... Bali Kitendawili....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Naombeni jibu tafadhali...

Nimerejea mahabani baadae ya kukosa jibu mujarabu siasani.

Ukisimama inakuwa mbele, ukikaa inakuwa kati na ukiinama inakiwa nyuma.

Ni vyema ukafanya kwa vitendo na kugusa ni kipi kinahama hivyo kwa nyakati zote tatu tofauti....

Ameinamaaa.... Ameinukaaaa...

Anaona Haya huyoooo.... Joyce Wowowoooo....

K' Mahaba.
 
Ikijaa hewa inalia pwaa pwaa hasa ikikutana na wazee wa kinondoni kinyume chake

Unaweza hisi inajamba kumbe hewa inalia pwaa pwaa huku pipe ikipita taratibu

Guissepe mbona maneno makali hivyo khaa...!!?? Heheheheheheh
 
Ukisimama inakuwa mbele, ukikaa inakuwa kati na ukiinama inakuwa nyuma.

Bado umesahau ukichuchumaa, ukiwekwa deatath of cockroach, halafu mikao ya vijana popo kanyea mbingu..

Ina mashavu pande 2, ina mdomo usio na meno na pua isio na tundu ya kunusia!! Utamu wake hunoga ukitia ulimi wa pua, ama kutia bakora huku pua kwa kidole waisugua...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom