Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,770
- 10,650
Hii ni mada chokozi. Ni ukweli ambao ni mgumu mno kuupinga kwamba wanawake wengi walio kwenye ndoa hawakuwingia kwenye ndoa kwa sababu ya kuwapenda waume zao. Why?
Mwanamume ni lazima ataanza kwa kumpenda mwanamke. Atamtongoza bila kujali status yake, anafanya kazi gani, kipato chake, elimu yake, kwao wanaishije. Na akikolea atakwenda mpaka ndoa! Ndio maana ni kawaida tu kusikia mwanamume kafunga ndoa na binti aliyekuwa mfanyakazi wa ndani wa familia fulani.
Wanawake? Ukitangaza nia tu, atataka kujua unaishi wapi, unafanya kazi gani, wazazi wako wanaishije, n.k. Utagundua kwamba wanawake wengi huolewa na kazi za waume zao, vipato vyao. Kama bado unabisha angalia matangazo yaliyomo humu jf, wanawake wanaotafuta waume, vigezo wanavyoweka. Awe na digrii, awe na kazi ya kipato kizuri, awe amejenga, n.k. I rest my case.