ndegemzungu
Member
- Mar 10, 2019
- 92
- 248
Hii michango imekuwa kero siku hzi watu wapo bze sana kupeana saport kwenye mambo kama harusi tena siku hzi mtu usipo mchangia inakuwa kama mmetengeneza uadui.Binafsi naungana na Mwana fa. ktk mahojiano yake anasema yeye hatomchangia mtu harusi na wala yeye wakati anaoa hakuomba mchango kwa mtu yoyote akazidi kusema siku hzi watu wanapenda zaidi Harusi kuliko ndoa yenyewe yaani cha muhimu kwa watu ni lile tukio la siku moja(harusi) na sio ndoa yenyewe anasisitiza watu hawaombi matatzo ivyo ni vzuri zaidi kusaidiana wakati wa matatzo lakini ndoa mtu anapanga kabsa kwa iyo vzuri akajiandaa kifedha kuliko kuchangisha watu kama vile wote wanaenda kuoa,anasisitiza zaidi kuwa funga ndoa kutokana na urefu wa mfuko wako kwa sababu hakuna uhusiano kati ya ukubwa wa harusi na ndoa itakavyodum ivyo haoni maana kuwa na harusi kubwa. lakini kama mfuko wako unakuruhusu fanya ila usisumbue kuanza kuchangisha watu fanya harusi inayoendana na mfuko wako.