Wanawake: Kama mtu humtaki mwambie ukweli sio kumzungusha

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Ama hakika.
This is new kipepe.
Serious talks only!

Habari za mda huu, ndugu jamaa na marafiki, leo nimeonelea niseme kitu kuhusu wanawake wengi kua na tabia ya kumzungusha zungusha mwanaume na kupiga chenga nyingi.

Dada zangu, kama mtu humtaki bora umwambie mapema, sio unamwambia utamfikiria, na wakati unamfikiria bado unaendelea kumtia shoti! Yani unanifikiria, bado hatujawa wapenzi lakini unaanza kuhitaji pesa kutoka kwangu, na mwanaume kwakua anakuhitaji unakuta anatoa tu pesa ili kutengeneza mazingira ya jibu utakalompa liwe zuri.

Dada zangu, kipindi cha kumfikiria mwanaume umkubali au umkatae, basi usipige vizinga na kumpa majukumu kibao mwanaume kama tayari mmeshakua wapenzi.

Mwisho wa siku mttu kashatoa pesa zake kibao akijua ndio unamkubali hivyo unakuja eti unamwambia una mtu wako, duuh! Baada ya kula pesa zangu kibao ndio unaniambia una mtu!? This is not fair.

Kama mtu humtaki, Zikatae na pesa zake, Sio eti mimi hunitaki lakini pesa zangu unazitaka.

Kipepe.
Serious Talks Only!
 
Ukiwa kama mwanaume, ukashindwa kumpata mwanamke wakati anakuomba pesa kabla hajakukubalia; inabidi ujitafakari kwanza unakwama wapi!

Wanawake wengine hawawezi kukutamkia kuwa 'Ndiyo ' au 'Nimekukubalia '.
Huona kama ni udhaifu kwao, so usipojiongeza kiume , utaishia kulaumu tu.
 
Asipokuelewa na hapa hawezi kuelewa chochote au mtu yeyote
 
Wajinga ndio waliwao!utauziwaje mbuzi kwenye gunia?
Ama hakika.
This is new kipepe.
Serious talks only!

Habari za mda huu, ndugu jamaa na marafiki, leo nimeonelea niseme kitu kuhusu wanawake wengi kua na tabia ya kumzungusha zungusha mwanaume na kupiga chenga nyingi.

Dada zangu, kama mtu humtaki bora umwambie mapema, sio unamwambia utamfikiria, na wakati unamfikiria bado unaendelea kumtia shoti! Yani unanifikiria, bado hatujawa wapenzi lakini unaanza kuhitaji pesa kutoka kwangu, na mwanaume kwakua anakuhitaji unakuta anatoa tu pesa ili kutengeneza mazingira ya jibu utakalompa liwe zuri.

Dada zangu, kipindi cha kumfikiria mwanaume umkubali au umkatae, basi usipige vizinga na kumpa majukumu kibao mwanaume kama tayari mmeshakua wapenzi.

Mwisho wa siku mttu kashatoa pesa zake kibao akijua ndio unamkubali hivyo unakuja eti unamwambia una mtu wako, duuh! Baada ya kula pesa zangu kibao ndio unaniambia una mtu!? This is not fair.

Kama mtu humtaki, Zikatae na pesa zake, Sio eti mimi hunitaki lakini pesa zangu unazitaka.

Kipepe.
Serious Talks Only!
 
kwani mkuu wewe si ulisemaga unakilema? myb wanakukataa kwasababu ya kilema chako😁😁:D:D
 
Back
Top Bottom