Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,406
Kuna dada anafanya kazi kwenye shirika la kigeni, hajaolewa na kazi zake ni za kisafiri sana.
Aliamua kutafuta dada wa kumsaidia kazi za ndani. Kwa kifupi kazi ya dada ilikuwa kwa ulinzi zaidi maana madam alikuwa anasafiri sana.
Alimlipa dada wa kazi laki mbili kwa mwezi, dada alipeleka laki moja kijijini kwao kwa wazazi wake kila mwezi, nyingine alitengeneza mwenyewe. Hakuwa na matumizi mabaya ya pesa ila alimudu kusuka yebo yebo na kununua nguo za kuvutia.
Jirani na nyumba yao aliishi kijana wa 30+ ambae nae ni muakiriwa wa serikalini. Huyu kaka hakuwa na mke. Ilitokea wamejuana na walianza kufahamiana. Dada moyo wake ulianza kumpenda jirani.
Alianza kumkaribisha jirani chakula weekends, jirani alikuja na matunda pamoja na chupa za wine. Kumbe jirani moyo wake umedondoka kwa dada wa kazi.
Siku alipomfubgukia madam kuwa moyo wake uko kwa dadaa, madam alivunjika moyo lakini alikubali matokeo. Hatimae jirani alikwenda kujitambulisha kwa wazazi wa binti na walifunga ndoa.