Natafuta binti( mrembo )wa kubadilishana Mawazo

Ndugu zangu habari zenu?
Maisha ya usingle ni mabaya sana unakuwa mpweke na stressed sana ,Naomba ajitokeze binti mmoja mrembo anayejielewa awe amesoma yuko vizuri kichwani kama mimi tubadilishane mawazo awe na maika 19-25 ,Nadhani itakuwa mwanzo mzuri wa sisi kufahamiana na kutengeneza kitu ..

Hii ni serious sihitaji negative comments!

Natanguliza shukrani
Huko mtaani kwako hakuna wasichana,unakosoma au kufanya kazi au unakosali mpaka uje kuhangaika huku ns wasichana ambao huwajui wala hujawahi kuwaona?,Dogo sometime kua serious basi
 
Ndugu zangu habari zenu?
Maisha ya usingle ni mabaya sana unakuwa mpweke na stressed sana ,Naomba ajitokeze binti mmoja mrembo anayejielewa awe amesoma yuko vizuri kichwani kama mimi tubadilishane mawazo awe na maika 19-25 ,Nadhani itakuwa mwanzo mzuri wa sisi kufahamiana na kutengeneza kitu ..

Hii ni serious sihitaji negative comments!

Natanguliza shukrani
Atakae leta negative comment kama mimi utamfanyaje?
 
Vipi wewe ni binti mrembo ? Mwenye sifa tajwa hapo juu ? Basi kama ndio jongea Pm usijali kuhusu fedha.

Tayari nina hela naweza kukutunza wewe na huyo umtafutae maana unatafuta kulelelewa tu. Kama hali ngumu sema washika dau tukuweke ndani
 
Hivi kweli upo siriaz na maisha wewe kijana kwann usiseme unatafuta demu Wa kumdinya.
Kwanza unataka binti kukutoa stress na upweke alafu huyo huyo binti ndani yake awe anajielewa pia kichwani awe vzuri kama wewe,mwisho huo umri ambao umeutaja hapo chini 19-25.
Yan kabinti ka watu kaje kukufanyia mambo yote kama umeoa alafu siku stress zako zikiisha utamfanyaje?

Ushauri wangu kama mazingira ambayo yamekuzunguka umekosa binti mwenye sifa hzo naimani ata humu JF hawapo pia.

Nenda kaweke Bandiko lako Facebook utapata vibinti maana humu kuna mabibi wamama mashangazi na Madada zako.
 
Matango pori tu unayozungumza; mimi naweza kuwatunza wewe na kijiji chenu chote lifetime
Tayari nina hela naweza kukutunza wewe na huyo umtafutae maana unatafuta kulelelewa tu. Kama hali ngumu sema washika dau tukuweke ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom