katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Dah ulimwengu unaisha kama wanaigiza kilichomo hatari mwanaume amewapanga wanawake kama nini.
Tuanze bossy mwenyewe ,sekretary wasichana wote waofisini nadhani hadi mlinzi chai .
Hata haoni aibu yaani watu hawatulii bado anaomba msamaha kwa juliana anampenda bado amefumaniwa na demu wa best yake.
Yaani kituko kweli hivi kwa hali hii mtu anaepukaje magonjwa.
Au anajisikiaje kubadilisha wanawake kama nguo i mean hamekosa nini ili awe kakamilika.
Maisha ni kukamilika bhana hata kama unacheat iwe kwa kiasi sio watu kumi hadi house girl wenu.
Inatisha kabisa yaani.
Ili uonekane wewe sio mwanaume wa dar wewe ni kidume au?
Unandoa mke mzuri ila unamleta hawara hadi kwako ndani eti analala na mkeo kitanda kimoja shame .
Nawewe mwenye tabia hizi huoni unatenda dhambi isiyoisha.
Mwenzio kaolewa ila wewe huoni unamkubali mume wamtu chai unaingia mpaka kitandani kwa mwanamke mwenzio halafu kweli usingizi unaupatwa usiwe cruel hivi kama mpo mnamioyo ya chuma.
Sent using Jamii Forums mobile app