baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 119
Wakuu siku ya leo imekuwa ngumu sana.
Story ipo hivi; nina mpenzi wangu tuna kama miaka miwili hivi ukweli nampenda sana,sasa miezi michache iliyopita alianza sumbuliwa na tumbo sana alienda hospitali majibu alionekana ana uvimbe na suluhisho abebe ujauzito. Alinieleza tukapanga mwezi wa tisa abebe mimba ila tunaishi mikoa tofauti tuna utaratibu wa kukutana mara moja kila mwezi,ila sasa kama ana week amebadilika mawasiliano kwa shida.
Sasa jana nimempigia kumuuliza kuna tatizo gani akanijibu anaomba nimsamehe ana mimba kwani tatizo lilizidi akaona abebe mimba kwani aliogopa asije akakosa kuzaa dah niliumia sana akalia sana na akaniahidi kuwa kesho ataitoa nimsamehe zen tuendelee kiukweli sijamjibu kitu na bado nampenda ila nipo njia panda sana