ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
Ni rafiki yangu wa karibu,kanitumia screenshorts za majibu ya mpenzi wake baada ya kunyimwa penzi kwa miezi kadhaa na mpnz anayedai kuwa na ndoto za kumuoa!
Anadai kwa kipindi kirefu ameyumba sana kiuchumi,hali iliyopelekea kushindwa kumudu mahitaji yake na mpenzi wake, ndipo mpenzi wake akaanza kumpiga kalenda linapokuja swala la mapenzi,baada ya kumuuliza kwa nini amebadilika, binti bila kusita akamwangushia jamaa meseji ndeeefu akito ya moyoni,kama inavyoonyesha hapa chini, je,rafiki yangu huyu,aendelee kubaki hapa au aachane naye?