Sifa za wanaume waliopanga nyumba za uswahilini

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,311
7,494
1,Ana wanawake wengi,anawabadilisha kama nguo,bandika bandua

2,Kila akimuingiza mwanamke ndani,anaongeza sauti ya redio (bufa)

3,Anakunja sura kwa wapangaji wenzake,hataki mpangaji amzoeee

4,Wabishi wa kufanya usafi kwenye vyoo vya public,au uwanja

5,Hawataki kufuatilia maisha ya wapangaji wenzake,na hawapendi mpangaji mwenzake amfuatilie

6,wanasalimiana na wanaume wenzie tu wanaokaa nao hapo upangaji,jinsia ya kike hana mda naye

7,Mwanamke akienda kwake ,viatu vya mwanamke vinaingizwa ndani

8,Hataki kumtambulisha mpenzi wake kwa wapangaji wenzake na hataki wazoeane na wapangaji wenzake

9,Wapenzi wao wengi ni wa mbali,mikoani au mitaa ya mbali,Hiece tatu ufike kwake

10,magheto yao ni masafi hatari

NB Wazazi wenye watoto wakubwa kupanga pamoja na bachala,yataka moyo,wataiga mambo maovu,kama vile fasheni ya kubadilisha wanawake
 
1
 
Umejaribu japo c sanaa
Ila wanaume wa uswazi ndiyo wana akisi uanaume halisi
Achana na wale wa Masaki.
Round Moja Chaliiiiiii
1,Ana wanawake wengi,anawabadilisha kama nguo,bandika bandua

2,Kila akimuingiza mwanamke ndani,anaongeza sauti ya redio (bufa)

3,Anakunja sura kwa wapangaji wenzake,hataki mpangaji amzoeee

4,Wabishi wa kufanya usafi kwenye vyoo vya public,au uwanja

5,Hawataki kufuatilia maisha ya wapangaji wenzake,na hawapendi mpangaji mwenzake amfuatilie

6,wanasalimiana na wanaume wenzie tu wanaokaa nao hapo upangaji,jinsia ya kike hana mda naye

7,Mwanamke akienda kwake ,viatu vya mwanamke vinaingizwa ndani

8,Hataki kumtambulisha mpenzi wake kwa wapangaji wenzake na hataki wazoeane na wapangaji wenzake

9,Wapenzi wao wengi ni wa mbali,mikoani au mitaa ya mbali,Hiece tatu ufike kwake

10,magheto yao ni masafi hatari

NB Wazazi wenye watoto wakubwa kupanga pamoja na bachala,yataka moyo,wataiga mambo maovu,kama vile fasheni ya kubadilisha wanawake
 
Namba 1 inakuhusu
Hiyo namba 5 mbona haina tatizo. Ufuatilie maisha ya mpangaji mwenzako wakati na wewe upo busy na mambo yako. Huo muda unautoa wapi? Katika mambo ambayo huwa siyataki mpaka kesho kutwa nikufuatilia maisha ya mtu na mtu kunifuatilia mimi. Kila mmoja ashughulike na mambo yake.
 
Back
Top Bottom