GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,409
- 108,516
Nimekuwa nikijiuliza mno hili Swali hasa ikizingatiwa kuwa Mwanamke Kubeba Mkoba ni sawa na Israeli na Roho ya Binadamu na kama tunavyojua moja ya Bidhaa muhimu ambayo ni lazima iwe isiwe utaikuta tu humo Mkobani mwao ni Taulo zao za Kike ( Sodo / Pedi ) kwa ajili ya Kujisitiri hasa katika zile tarehe zao za Hedhi za kila mwezi.
Naomba kujua hivi hawa Maaskari wa Kike ambao huwa hawabebi Mikoba mara kwa mara na muda mwingi huwa wanakuwa Wao kama Wao tu ndani ya Uniforms zao Taulo zao hizo huwa wanazificha au wanazihifadhi wapi? Na kuna wengine huwa tuna Macho makali kabisa ya Ndege Tai ambapo huwa tunawachunguza katika Mifuko yao ya ama Mashati yao au Sketi kama siyo Suruali zao lakini huwa hatuoni dalili zozote za kuwepo kwa hizo Sodo / Pedi.
Najua hapa JamiiForuma Maaskari wa Kike mpo wengi tu hivyo si vibaya nanyi leo mkanijibu hili Swali langu sumbufu kabisa.