Ndugu dexter alitupa kisa chake kuwa ana mwanamke mwenye fedha, na dada huyo amempa dexter maisha mazuri, ila tatizo kwa mujibu wa dexter ni sura mbaya ya huyo dada, hivyo pamoja na kupata maisha mazuri lakini hampendi na hana furaha moyoni,akaja hapa kuomba advice
Lakini kinyume na matarajio alitukanwa sana humu, kuwa hana shukrani na kwamba aendelee na huyo huyo wa sura ya baba kisa ana hela na kampa good life, sasa nimejiuliza kwa hiyo aishi hivyo hivyo na mtu asiempenda maisha yote?
Ina maana watu walitaka akatae msaada wa huyo dada tangu mwanzo halaf aishije? Mbona nyinyi akina dada huwa hamkatai anapotokea mpenzi mwenye pesa? Utakubali hivyo hivyo halaf baadae ndio unaanza kumsumbua kwa kuanza kutembea na mwingine unaempenda
Sasa nasema hivi, kwa wanaume wote ukipata mwanamke mwenye fedha kukuzidi na bahati mbaya ukawa humpendi acha akufadhili, take her money as much as you can, manipulate her in whichever you can, build ur businesses in secrecy without her knowledge, mapenzi yake kwako ndio iwe mtaji wako mkubwa, then tafuta mrembo wa moyoni mwako ishi nae, dump the other one as far as you can
Fanya hivi kwa kuwa mwanamke mwenye kukufadhili kimaisha mkishaingia ndani ya ndoa na kupata watoto wawili watatu utanyanyasika kupita maelezo utakumbushwa ulikotoka kila ugomvi unapotokea ndani, watoto watajua ww ndie mdogo mama ndie mkubwa ndani, hata house girl atafaham pia
Mwanamke anaekuja kukutoa juu ya mawe mwache akamilishe zoezi hilo ww jijenge ukisimama dump her kajenge heshima na bibi mwingine, because the one who uplifted you will never give you that respect, it will be a matter of time before you realize it