Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari waungwana. Nimeulizwa suala hilo na mfanyakazi mwenzangu naombeni ushauri wenu story iko hivi:- Mfanyakazi mwenzangu ni baba wa watoto 2 na na maisha yake ni ya kawaida na mke wake ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nimeleta somo tujifunze kuhandle wasichana/wanawake zetu kitaalam kwa kufuata kanuni za IAS.69 zinazotambulika na ACCA na CIMA. Objective: The objective of IFRS 69 is to prescribe the...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi kama namkuta ex wangu anaungua na moto nitatumia Petrol kuuzima [emoji849][emoji19], Guys, ngoja tuone wapenzi wetu wa zamani walitutendea/tuliwatendea yapi na kama tumesamehe au bado,
5 Reactions
230 Replies
14K Views
wadau naomben mnijuze madhara ya kutofanya mapenzi ni yapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Awali ya yote nimshukuru Mwingi wa rehema na Baraka. Jina lake litukuzwe.. Kwa siku za hivi karibuni, nimekuwa na mawazo sana ya kumuhsu #TagUbavu wangu. Ama Mama Chanja. U hali gani mupenzi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kumekucha tena. Nimejitia kuandika zaidi kuhusu mabinti kwa lengo moja tu, kujaribu kukifumbua macho kizazi kinachopotea kwa kasi. Najua majibizano na maneno makali yatokayo hasa kwa...
10 Reactions
43 Replies
7K Views
Kichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hiyo kauli amenipatia mchepuko wangu Wa zamani ambao sasa umeolewa. Of course tangu aolewe sijawahi kumtafuta zaidi ya kuanza ye mwnyw nami kujibu kdg. Jana nikaamua nimtege kwa kumuuliza kuwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nyie; Wapendanao wote, wa jinsia zote, iwe wa kike au wa kiume au hata wasiojua jinsia zao husika wanapewa onyo kwamba, Mahusiano ya kimapenzi, pamoja na kuwa ni baraka yanaweza kuwa ni hatari...
8 Reactions
15 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya akinababa wamekuwa na tabia ya kuwakataa na hatimaye kuwatelekeza watoto wao hasa wale wanaozaliwa nje ya ndoa zao (waliozaa na michepuko). Kwa uchunguzi wangu, mara nyingi mungu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Pale unapochukua simu ya mpenzi wako nakuanza kupekua ukidhani amelala fofo kumbe yupo macho Anakujibu sheet kama hivi ""Ukimaliza kazi yako naomba ukalilie nje me sitaki makelele hapa"...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Za siku nyingi wanabody? Bila kupoteza muda iko hivi, nina msichana wangu ambaye namzimia kinoma noma, tuna mipango mingi ya mbele mizuri na naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata...
1 Reactions
109 Replies
16K Views
Naandika haya huku roho ikiniuma sana. Kabuku ( Tsh 1000 /= ) kangu kameenda kizembe sana. Dah Siku hizi wadada wamekuwa wepesi sana kutoa namba zao mitandaoni.. Basi bana, juzi kati nkamuomba...
20 Reactions
332 Replies
23K Views
Wakubwa shikamoo, wadogo malahaba. Naomba msaada wa kijuzwa kama nina tatizo la kiafya au ndo yale matatizo yetu yaliyosuka? Mimi nikitoka na mwanamke ata kama ni mzuri kiasi gani, nikivaa condom...
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Niajee humu ndichi...?I hope mko poa..Aisee!Leo nko uku Fas ya Njiro kwa watoto wa mashavuni(Ushuani)kwa Sister'angu nimetimba kuja kuwapa ma'niaje ma'hi,,For now tumemaliza kupiga diko(Kula)mambo...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Jimama moja hapa mjini kwetu limetokea kunipenda sana kimapenzi eti,,eti linasema nilikubalie kabla ya yote tukapime afya zetu ndo tufanye mapenzi Jimama lenyewe pesa usiulize ni za kutosha, ili...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Salamu kwenu waungwana, Nimekuwa nikiwasikia watu wazima wakidai kwamba kitovu cha mtoto mchanga kinaweza kutumika kama limbwata ambalo halina expire date. Nasikia mwanaume aliyefanyiwa limbwata...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi, niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu habari za saizi!! Poleni kwa majukumu kwa wenye nayo kama mimi, wengine hongereni kwa bata. ■ Kuna jambo limeishi miaka mingi sana {niseme mpaka sasa hivi} ● Nikiwa O'level mkoa mmoja hivi...
14 Reactions
144 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…