mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari waungwana.
Nimeulizwa suala hilo na mfanyakazi mwenzangu naombeni ushauri wenu story iko hivi:-
Mfanyakazi mwenzangu ni baba wa watoto 2 na na maisha yake ni ya kawaida na mke wake ni mama wa nyumbani tuuu.
Tatizo limekuja kua mke wake anataka na yeye afanye kazi ama ajishuhulishe na biashara ila mume wake anawivu sana na anampenda mke wake na mahitaji japo madogo kwa uwezo wake anampa ila mwanamke kashikilia kua atafutiwe kazi ama maduka awe anapekeka biashara ya vitu vikavu kama vileja n.k
Huyu mwanamke anaonekana anapenda kujipatia kipato kila siku analalamika kua ataondoka na kuenda kujitaftia maisha mbali mara anasema maisha yake kachoka bora aache.
Sasa mwanaume alikua na wazo la ama amuache ama ampe ruhusa aende akatafute maisha huko yaliko bila ya kumuacha.
Wadau munamshaurije.