Good evening family,
Poleni na uchovu wa mihangaiko. Straight to the point,
Ni hivi uzi zimejaa humu ndani kuhusu wake kwa wanaume kusalitiana ndani ya ndoa but Mara nyingi the victim ni...
hei hei wakuu hali zenu?
nianze kwa kuomba radhi picha hazitokuwepo katika uzi huu maana ni swala ambalo lipo nje ya uwezo wangu.,
mi si play boy ila katika kuzunguka kwangu na hadi umri...
Utasikia "nakupenda kwa dhati, bila wewe siwezi kuishi. Nitaishi na wewe popote pale, nakupenda sana kwa dhati"
Ukimuuliza mahari unanitoza kiasi gani, anakutajia kiasi kikubwa hadi unaanza...
heri ya j'pili wakuu.
Kijana mmoja alienda kuchumbia, alipofika ukweni akakutana na baba mkwe wake. maongezi yakaanza huku yule kijana anatafuna big "G"...
Mzee: we kijana unaongea na Mimi huku...
Sina sababu ya kueleza sana...lakini kila mmoja anajua wazi ni mambo gani amepitia yeye na mama yake mpaka leo hii amekuwa mtu....wqkati huo baba amejiwwka kando, anajidai hajui kinachoendelea...
Jaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!.
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae...
Habari za weekend wana jf..... kifupi ni kuwa nikitazama kwa umakini hii dunia pabaya inapoelekea na mabaya yake nimegundua kuwa ni yote yanasababishwa na upenyo mdogo ambao ni mbovu ambao ni...
Habari wana jf , kuna hili suala la kuchelewa kukojoa kila ninapokutana na demu sijui chanzo chake nini kwakweli wengi huwa wananiuliza kwamba natumia dawa au nimekunywa alkasusu sijui nashindwa...
Binti unamtongoza mwisho wa siku anakwambia ana mtu na hapendelei sana mambo hayo mtu unaamua kuheshimu mawazo yake na unajikalia kando hata sms ulizokuwa unamtumia unaacha.
Hazipiti siku mbili...
Aseee! Sura huna, rangi huna, umbo kama pipa! Yani mwanaume kua nawewe anafanya kujitolea tuu, Lakini unavyopenda pesa sasa.
Mfano wa mwanamke Anaetakiwa kupewa pesa kwa kadiri ya uwezo wa...
2 Indisputable Reasons Why People Cheat in Relationship or Marriage and its Solutions
Men cheats. Women cheats also. It's not about who does it more or less, it's about preventing this from...
*MARRIED Men*
MEN..... learn to take care of your wife,in as much that you know she does the same to you.
Always take care of your wife, especially when,she is pregnant. make sure she is...
Leo mama yangu umetimiza miaka kumi tangu roho na mwili wako vitengane. Uliniacha katika kipindi ambacho kwa namna moja au nyingine nilijua nimekukosea na nilitamani niprove wrong kwako. Siku zote...
Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje.
Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Habari zenu wadau wa jf, Mimi ni kijana wa kiume kuna jambo linanitatiza sijui niliwekeje iko hivi nimekutana na dada mmoja mazingira mapya ya kazi ambaye Kiukweli amefanana kuanzia sura na sifa...
*GIVE IT TIME*
When someone comes and tells you, "I can't sleep without you, I love you the way you are and I can put up with your good and bad attitude", before you commit your heart to such a...
Dear Married (and Singles who love to learn)
0. Sometimes you just want affection, attention and everything between or that follows but not from your spouse.
1. This is not because your partner...
VUNJA AGANO NA MCHUMBA ULIYEACHANA NAYE.
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu.
Jifunze kitu kwenye ujumbe huu.
Baadhi ya Vijana na mabinti hupata wachumba kisha baada ya muda wanaachana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.