Nimepata mpenzi humu jukwaani

Nimepata mpenzi humu jukwaani

Hongereni sana, penzi linastawi mahali popote pale hata JF kinachotakiwa ni maelewano na juhudi kubwa ya kulijenga penzi.

Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha tangu Nina allergy na Andunje.

Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
 
Back
Top Bottom