Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Habari wana jf , kuna hili suala la kuchelewa kukojoa kila ninapokutana na demu sijui chanzo chake nini kwakweli wengi huwa wananiuliza kwamba natumia dawa au nimekunywa alkasusu sijui nashindwa cha kuwajibu wengi wamekuwa wanashindwa kuendana na kasi yangu sijui nina tatizo gani mimi nachukua zaid ya saa mbili kukojoa gori la kwanza na hawawezi tena kuendelea round ya pili naombe msaada wenu tafadhari. Mkizingatia nina shoo this week Alf huyu mtoto nampenda sana nataka awe wife lkn nahofia kumpoteza kwa shughuri yangu pevu