Hivi wanawake mna nini nyie!

Hivi wanawake mna nini nyie!

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,116
Binti unamtongoza mwisho wa siku anakwambia ana mtu na hapendelei sana mambo hayo mtu unaamua kuheshimu mawazo yake na unajikalia kando hata sms ulizokuwa unamtumia unaacha.

Hazipiti siku mbili unashangaa mtu anaanza ooh mbona kimya sana tatizo nini! Unamwambia hakuna shida ooh au ulichukia kukwambia nina mtu unajibu hapana oooh basi takufikiria aisee hivi mtu kama huyu mtalaumu?

- Kuna wengine ukichukua namba mkaanza chat kwenye kuelekea kutongoza hazipiti wiki mbili oooh samahani naomba uniazime 20,000 takurudishia.

Hivi nyie mnadhani sisi tunaokota hela eeeh! Acheni ujinga bhana aaah
 
Kama huna hata kianzio cha kuhongea utatumia nguvu nying sana kutongoza... haya mambo yanaenda sambamba...
Anyway unamwandiko kama wa Zero IQ
 
Halafu hiki kitambia msichana mnabadilishana namba Siku mbili mbele anaomba umuazome hela inaudhi, kibaya zaidi wadada wanaongoza kwa kutorudisha hela wakiazima! Unasikia my naaomba niazime elfu 30 wiki ijayo nakurudishia, then anaongezea ujue nimekumis my! Shenzi kabisa mm siku hizi nawatolea mbavuni tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom