INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,039
- 1,449
Habari za weekend wana jf..... kifupi ni kuwa nikitazama kwa umakini hii dunia pabaya inapoelekea na mabaya yake nimegundua kuwa ni yote yanasababishwa na upenyo mdogo ambao ni mbovu ambao ni malezi mabovu ya siku hizi
Kiufupi FAMILIA ndio msingi wa jamii yoyote ile na ndiyo jamii ya kwanza kabisa katika huu ulimwengu.Kuzorota kwa ndoa naweza sema ndiyo chanzo cha maovu yote katika huu ulimwengu
Hebu angalia tatizo kubwa la watoto wa mitaani, uwepo wa masingle mother na fathers wengi wakizidi ongezeka siku hizi....kiufupi katika dunia yetu maadili yazidi momonyoka kadri siku zinavyozidi kwenda tofauti na miaka ya nyuma kidogo nilivyokuwa nashuhudia na pia kusimuliwa na wazazi wangu
Siku hizi taratibu zile za kuoana si kama zamani.. siku hizi tunachukuana tu ilimradi lakni wazazi wetu hawakuwa hivi..
Shetani ni mjanja sana katika harakati zake za kuupotosha huu ulimwengu kateka padogo tu ambapo ni FAMILIA huku akijua kuwa akiharibu hapa hata taifa then dunia nzima lazima iharibike
Mimi nashukuru Mungu kuwa nimebahatika kupata upendo kamili toka kwa baba na mama kikamilifu kwani hata sasa ukinihoji nani zaidi kati ya baba na mama mimi huwa sina upande nitakaegemea... lakini sisi kina baba naweza sema kwa asilimiA KUBWA sisi wanaume ndio tunachangia familia kuparanyika kwa sababu kadha wa kadha
nini kifanyike basi kuokoa familia zetu??? kwa me navyodhani ni vyema sisi vijana ambao hatujaoa ni tufuate utaratibu wa mababu zetu katika ndoa na malezi..kama mimi nmeapa sitaki kuwa na mtoto kabla ya ndoa wala kuwa na mchepuko nikiwa ndani ndoa wala kuzalia nje pia nimeapa kuwapa wanangu malezi wanayostahili bila kumsahau Mungu wangu ...Karibu kwa mjadala