Hadithi tamu

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,016
1,501
heri ya j'pili wakuu.
Kijana mmoja alienda kuchumbia, alipofika ukweni akakutana na baba mkwe wake. maongezi yakaanza huku yule kijana anatafuna big "G"...

Mzee: we kijana unaongea na Mimi huku unatafuna big "G"!!?
Kijana: nakata stimu mzee, nilikua navuta sigara.
Mzee:kumbe unavuta!?
Kijana:Jana nilikunywa pombe nyingi, ndio nazimua.
Mzee: Kwa hasira!!Na pombe unakunywa!?
Kijana:Nilijifunza nilipofungwa jela.
Mzee:Mungu wangu, na jela ulishafungwa!?
Kijana:Kulikua na mzee mmoja fala sana, nilikwenda kumposa bint yake akanikatalia, nikamuulia mbali.
Mzee:Lahaula. karibu baba, karibu mwanangu mke umepata.
 
Zis joke is tuu old ze last time I hear it I was raiding dinosaur
3c9be8d08fcb9976547afbb8ea4ee21c.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom