Nipeni MBINU matata ya kumwacha huyu Dada, aumie kisawasawa

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,040
Weekend hiloo, wanajukwaa embu nipeni mbinu matata nimwache hyu bidada yani aumie kisawasawa alie kisawasawa na ofcoz amejaa sana kwangu.

Why? Hyu dem wkt nakutana nae 2months ago alinambia yuko single, siku akajimix alinipa nimshikie cm yake nikakuta calls za kutosha kumbe hyo alikuwa ex wake aliye mbwaga. Nikazama Dm nkakuta jamaa analia sana umeniacha bila kosa nashukuru mara huwez pata mwanamme mwenye true love kama mimi, nikacheka kimoyomoyo jamaa umejuaje??

Ofcourse sikupenda kitendo cha dem alichofanya afu sikupenda kuona baharia mwenzangu analia vile, mpaka sasa jamaa anamtafuta demu. Hyu dem me nishamchoka hana jipya la kunipa sahivi. Nataka na yeye aliye kama alivolia jamaa ake. Yan kamwacha jamaa ake mwenye true love kadata kwangu.Mabaharia hyu dem ili aumie kisawasawa ikiwezkana asinisahau kabisa. NIFANYAJE??
 
Weekend hiloo, wanajukwaa embu nipeni mbinu matata nimwache hyu bidada yani aumie kisawasawa alie kisawasawa na ofcoz amejaa sana kwangu.

Why? Hyu dem wkt nakutana nae 2months ago alinambia yuko single, siku akajimix alinipa nimshikie cm yake nikakuta calls za kutosha kumbe hyo alikuwa ex wake aliye mbwaga. Nikazama Dm nkakuta jamaa analia sana umeniacha bila kosa nashukuru mara huwez pata mwanamme mwenye true love kama mimi, nikacheka kimoyomoyo jamaa umejuaje??

Ofcourse sikupenda kitendo cha dem alichofanya afu sikupenda kuona baharia mwenzangu analia vile, mpaka sasa jamaa anamtafuta demu. Hyu dem me nishamchoka hana jipya la kunipa sahivi. Nataka na yeye aliye kama alivolia jamaa ake. Mabaharia hyu dem ili aumie kisawasawa ikiwezkana asinisahau kabisa. NIFANYAJE??
Mpeleke hotel kali yoyote mjini yenye hadhi ya nyota tano piga bao zako 3 za ushindi zenye mahaba mazito alafu ule wakati wa dina mpeleke akapate chakula chochote alichokua akikipenda sana uku ukimpa fursa ya kupiga picha na kujiona amepata furaha ya kupitilia kesho yake mchukue mpeleke place ukampige shopping kama ya laki 8 ivi hakikisha anafulai na kila muda akwambie I love so much ya ukwel uku wew ukionesha umemkubali kisawa sawa alafu mrudishe kwao alafu we sepa kesho yake akipga simu mzungurushe kidogo alaf badae muombe kuachana akiuliza sababu mwambie ukulidhika na kila jambo alilokua akikufanyia ata lile tendo na umwambie ujaona jipya kwake as u said

###Hahahaha Mabaharia Wa Ukweli Hatuoni Shida Kufanya Aya
 
Baharia hatumii laki 8 kwa ajili ya demu..
 
We thubutu..yaani jamaa atoe zaidi ya 1m ili kumliza demu??!!
 
Naweza mkuu ila ataniona boyaa
 
Back
Top Bottom