BADO NAKUKUMBUKA MAMA

BADO NAKUKUMBUKA MAMA

Mohamed Ismail

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
228
Reaction score
249
Leo mama yangu umetimiza miaka kumi tangu roho na mwili wako vitengane. Uliniacha katika kipindi ambacho kwa namna moja au nyingine nilijua nimekukosea na nilitamani niprove wrong kwako. Siku zote mtoto kwa mama huwa hakui. Sikuwa mtoto wa mwisho kwako lakini bado na mimi nilibehave kama kitindamimba.Mimi na mdogo wangu wa mwisho Nazir tulitofautiana kuwa mimi ni mkubwa ila kudeka tulienda sawa. Mwanao nilikuwa mtundu sana na hilo ulikuwa unalijua. Lakini pale nilipokosea haukuwa tayari kunyamaza na uliweza kunikemea hata bakora nilipata. Ulipenda watoto wako tujue vitu vingi kuhusu stadi za maisha kama shughuli za bustani, biashara ndogo ndogo pamoja na kazi za mikono. Kwa utoto wetu tuliona kama ni mama ambaye muda wote anataka ufanye kazi kumbe yote ilikuwa ni kutujenga kiakili. Mwanao wakati nasoma shule ilikuwa nikiishiwa hela ilikuwa lazima nikuambie wewe kwanza halafu utamuambia baba. Hata kipindi cha likizo hata baba akinipa kiasi fulani cha hela cha pocket money ilikuwa lazima na wewe unipe ya kwako ambayo hata baba haijui kama umenipatia. Kwahiyo hata shuleni nilionekana mshua kumbe ni familia zetu za kawaida.
Lakini yote ulikuwa unafanya kuhakikisha mtoto wako anatimiza ndoto yake. Na ulinisisitiza kuwa haya unayoyafanya siyo kwa ajili yako bali ni kwa faida yangu na familia yangu.
Ninaamini kwa sisi watoto malezi ambayo huwa tunayapata kwa wazazi wetu laiti kama tungekuwa tunayafuata shuleni wasingepata shida sana ya kupambana na nidhamu.

Leo hii naandika haya hata mama yangu hawezi kuyasoma bali ninafurahisha moyo wangu kwa kuamini nafsi yake inasikia. Kwa wenzangu ambao mama zenu bado wapo hai ni muda mzuri wa kuwaambia na kuwaonyesha kwa vitendo kuwa mnawapenda maana bila nguvu zao na juhudi tusingefika hapa tulipo. Msije mkaishia kuwa kama mimi naandika tayari yupo chini ya ardhi.
Andiko hili siyo kwamba sitambui mchango wa baba zetu ila kwa asilimia kubwa mama zetu huwa ndio walezi wetu. Malezi yao huanzia tangu utungo wa mimba , kuitunza mimba, kujifungua mpaka malezi ufikie umri wa kujitambua. Lazima tuthamini mchango wao mkubwa.
Siku ya kifo chako nilivyoambiwa hata sikutoa machozi ila nilikuwa nimebeba uchungu wa hali ya juu maana niliona moyo wangu kama unavuja damu ambayo siwezi kuirudisha. Nilipigiwa simu na rafiki zangu na ndugu zangu kunifariji lakini bado sura yangu ilionekana kawaida. Nilisafiri hadi nyumbani kushuhudia kaburi la mama yangu ingawa ilikuwa tayari kashamezwa na udongo huu. Kitendo cha kufika na kuona watu wengi nyumbani na kuna mahema mbele ya uwanja wetu ndio nilipoamini kuwa mama yangu hayupo tena duniani. Safari yangu ya Dar to Bukoba nilikuwa bado najipa moyo kuwa huenda mama yangu bado yupo. Ila nilivyofika dhahiri shahiri nilihakikisha kuwa sina tena mama. Naingia ndani napokelewa na vilio na sura za majonzi za kuashiria kuwa mpambanaji kaondoka. Namuona baba yangu analia kama mtoto na sikuwahi kushuhudia basi na mimi nikawa napata hisia ambazo hazisimuliki. Nilivyofika ndani niliona watu wananiliza baada ya kunifariji nikaamua kutoka na kwenda nje hata nicheke nitaniane na watu. It is a painful story ambayo naandika nabubujikwa na machozi.

Msiba uliisha nikarudi zangu shuleni na nikajiapiza moyoni mwangu kuwa mama yangu alitaka nisome sana na sitaacha kusoma na nikiamiani kuwa ninaposoma ninamfurahisha pale alipo kwenye makazi yake ya milele. Ilipita miaka miwili sijarudi nyumbani siku nilivyorudi nyumbani ilikuwa kama msiba wa mama yangu umeanza ndio nikaamini kuwa msiba siyo muda ambao mtu anapofariki ila ni pale ambapo unahitaji uwepo wake na hauwezi kumpata tena.
Rest in peace Mom.
#restinpeacemom
#mlimwengumimi
IMG-20181217-WA0008.jpeg
 
Pole sana jamani Mkuu!

Mama yetu apumzike kwa amani! Tunaamini yupo sehemu salama zaidi, tuzidi kumuombea tuu! Nawe usichoke kumshukuru Mungu kwa kila hali!
Shukrani sana ndugu yangu
 
#mlimwengumimiView attachment 1194063
watoto ambao bado hawajaanza hustle na wale wanaopendaga sana kudeka huwa wanawakubali sana mama zao wakakuaga wanafki wanafki hivi
 
Back
Top Bottom