Nauliza...

Nauliza...

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,094
Reaction score
62,013
Kwa hapa Dar chimbo gani zuri kwa uchomaji wa nyama ya mbuzi;nataka nikapoteze poteze muda kidogo...raha ni kujipa mwenyewe.
 
Nimekuja mbio nusura nivunje miguu nkajua unauliza chimbo za papuchi traders and company
 
Toroka Uje, sijui kama hii sehemu ingali ipo...maeneo fulani karibu na iliyokuwa Nyumbani Lounge...

Kuna mahali fulani mtaa nadhani wa Livingstone K/koo kuna jamaa anauza mbuzi mtamu sana...
 
Toroka Uje, sijui kama hii sehemu ingali ipo...maeneo fulani karibu na iliyokuwa Nyumbani Lounge...

Kuna mahali fulani mtaa nadhani wa Livingstone K/koo kuna jamaa anauza mbuzi mtamu sana...
Kesho jioni nitapatafuta
 
Back
Top Bottom