Na. Robert Heriel.
Wanawake wanapenda uhuru sana lakini hawajui athari za uhuru. Tumeshuhudia katika zama hizi za Utandawazi wakidai haki mbalimbali ikiwemo haki ya maamuzi katika mitindo yao ya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] _*Swaga za wanawake*_
1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana
2. Nishukie wapi?
3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka
4. Ubaya wako...
Hivi ni nani aliyewakaririsha wanawake kwamba lazima walale upande wa ukutani?
Haka katabia hata kwaupande wangu kananitokea pindi niwapo kitandani basi lazima mwanamke atapenda kulala ukutani...
Wakuu salaam
Husika na kichwa cha habari hapo juu, pasi na kutoa kisa kirefu naomba mnisaidie kwa kujibu swali hili: Kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, na huyo mwanaume...
Habari za mwisho wa wiki waungwana,
Hiki kisa ninachokisimulia hapa naona kama kinataka kujirudia na tukio lililotukia nikiwa mwanamke wa makamo I was in my last 30s year....
Ni miaka 10...
Wala nisiwachoshe.ilikuwa mwaka 2009 katika mizunguo yangu ya kikazi nikawa nasafiri na private car kwenda mwanza. So nikapita Dodoma maana kuna msichana nlikuwa namdate kila nikipita ile barabara...
*MUHIMU*```
[emoji654]Kuna siku marafiki tutatengana[emoji174] hatutaonana tena wala kuwasiliana.[emoji181]
[emoji654]Wengine umri utakuwa umeenda[emoji803] sana wamekuwa wazee na wengine...
Nigani asee machalii,Ma'dingilii na ma'manzi wa humu fas ya MMU!!Mko yente eeh.!?....Direct to e'point,aisee me nawaambiaje.!Kuna baadhi ya ma'manzi hawatatimba ndichi duas ya Mbinguni kwa Sir God...
Habarini wakuu,
Kuna dada mmoja mzuri sana shombeshombe tunakaa nae mtaa mmoja. Ameamia hivi karibuni, anaishi mwenyewe. Nimetokea sana kuvutiwa nae, angalau niwe karibu nae, tuwe tunabadilisha...
awali ya yote naomba mlio karibu na "gavana" mfikishieni ujumbe kuwa hiyo kanzidata(database) yake anayofiikiria kuijenga ambayo itatumika kuhifadhi taarifa za wanandoa haitakuja kusaidia kitu...
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.
Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la
inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi
Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia...
Nilishamwambia mapema haya mambo yanataka moyo wa chuma, ukiwa na moyo
laini wa kike hayafai kabisa. Siku 7 tu na mwili umenywea. Hizi ni meseji ambazo zimemfanya
jamaa mpaka leo asirudi kwa...
*BARUA*
Kwako
*Alumni wa Bwiru boys*
Salaams nyingi zikufikie popote ulipo zenye rehema na upendo juu yako. Natumai umzima wa afya na unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku za...
Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi...
Habari za jioni wana MMU. ..
Moja Kwa Moja ngoja niende kwenye mada aisee...
Ama kweli jamani dunia hadaa Ulimwengu shujaa....
Aiseeee lazima upitie foolish stage then akili ikomae ndio ujue...
Wakuu ,naleta Uzi huu kwawadada wadada wa chuo ,wanaringa sana ,wanazingua sana ,wengi wapo kimaslahi zaidi
Mwaka jana rafiki yangu amelizwa na demu wa chuo hivi hivi,wadada wa chuo ringeni sana...
Mke asipotoa (tendo), tayari kunakuwa na hisia, anatoka nje ya ndoa. Vivyo hivo kwa mume asipotoa.
Je huu ndio muhimili pekee wa kudumisha ndoa?
Je pasipo tendo hamna ndoa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.