Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake hua hawaelewi wanaume kupendelea kutoka na mabinti wadogo zaidi ya umri wao. Wengi hukimbilia kusema wanaume tunapenda mteremko, kwamba mabinti wadogo tunawarubuni na kuwashawishi kwa...
20 Reactions
123 Replies
24K Views
Wanajamii, Embu tukumbushie kama kichwa cha habari hapo juu, Mimi sitasahau nilifumaniwa na lizee limoja niko na msichana wake tena geto na msichana kabisa! Sitasahau niliruka ukuta na wala...
24 Reactions
308 Replies
54K Views
kuna jambo linanitokea kuhusu ex-wangu ambaye tulipendana vizuri tu lakini baadae akanisaliti na kwenda kuolewa na kibopa. jambo lenyewe ni hili; tangu tumeachana, kila mara ninapoangalia simu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Aisee hakuna changamoto kubwa kama kuishi na ndugu wa mume na wakwe kwenye nyumba mojaa, kweli kiba na ufisi wao maana walimlaa Gigy yeye na abdukiba sasa leo hii huu undugu wa kujazana sehemu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna mdada nna dating nae muda tu. Lakini mara kwa mara anapenda sana niambia kuna mtu flani alinitaka mara huyu ananifuata fuata yaan muda mwingine nakereka..... Kuna siku nikamfuma ana flirt...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Miaka mingi wanaume wa kiafrika tumekuwa na shida sana katika kuoa jamii hizi mbili. 1. wahindi 2. waarabu na hili limetufanya tubaki wanyonge kwa kiasi kikubwa snaa tukiwalalamikia dada zetu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni ngumu kuamini lakini imetokea kwangu Mwanamke wangu ameamua kubeba kila kilicho chake na kuondoka na amesisitiza tusijuane kuanzia Leo na niendelee na maisha yangu , Chanzo cha mwanamke...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake. Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na...
6 Reactions
176 Replies
11K Views
Am looking for girlfriend age 20 and above, black beauty, white,brown or chocolate in colour.if you have hips it will be added advantage please kindly text me through WhatsApp +254781847643
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari members, Nina muda mrefu sikuwa kwenye mahusiano yoyote yanayohusisha kufanya tendo la ndoa takribani miaka kadhaa sasa.kilichofanya niombe ushauri kwenu ni kwamba miezi miwili iliyopita...
1 Reactions
53 Replies
57K Views
Kwa style hii vijana tusioe, hpa home tupo wapangaj wa4 kuna dada mmoja ana watoto wa2 hyu dada anachepuka mpaka majiran tunaona aibu aisee so kwa mwendo huu anaotoa mbunye afu yeye halioni aibu...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Utafiti uliofanyika huko nchini Marekani na Uingereza umegundua kua ukosefu wa wanaume wanaovutia kiuchumi ndio sababu kubwa inayopelekea kushuka kwa idadi ya watu wanaofunda ndoa kila mwaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu mmeamka salama kama Mimi. Mlioamka vibaya, Mungu awasimamie siku yenu iwe nzuri.Bila kupoteza wakati naanza kutiririka yaliyomo moyoni mwangu. Siku chache zilizopita nilileta...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Women are complex creatures, a bundle of emotions and more often than not let their heart make decisions for them. More than all this, what they are is an “enigma”. No one can profess to have an...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo. Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea...
7 Reactions
86 Replies
6K Views
Bila ya kupoteza muda wana MMU. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 26~30. Nimekuja kwenu hasa wanawake wenye kujitambua na kujielewa naomba wanisaidie hili. Ingawa Wanaume pia...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Mabinti waliolelewa kilelemama/kimayai ni shida sana. Siku ya kwanza kuonana naye nilimuweka kidogo tuu(almost 20 minutes). Akawa anadai eti amechoka kukaa. Tukaonana for the first time. Ni...
9 Reactions
113 Replies
10K Views
Ni mwanamke niliyetoa posa laki tisa baada ya siku tano akatoroka, hajulikani alipo lakini simu yake inapatikana hapokei simu kabsa. kwa anayejua namna ya kumpata anisaidie jamani Nb; naogopa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
ni mjadala mkongwe zaidi duniani, mjadala wa vizazi na vizazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu kwa muktadha wa kiimani Ni mjadala tata kuhusiana na kile kilichotokea pale Eden na ukweli kuhusu dhambi...
5 Reactions
71 Replies
10K Views
Baada ya miangaiko yangu ya hapa na pale,huwa naenda maeneo yenye utulivu na kupata moja moto moja baridi,na kama nitapata nafasi najaribu kuosha macho hapa na pale kwa kuangalia maua ya dunia...
1 Reactions
97 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…