rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,975
Aisee hakuna changamoto kubwa kama kuishi na ndugu wa mume na wakwe kwenye nyumba mojaa, kweli kiba na ufisi wao maana walimlaa Gigy yeye na abdukiba sasa leo hii huu undugu wa kujazana sehemu moja si balaaa hilii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani usifanye kitu nduguu hao wanakosoa mamaee ustar mzigo ndo alikiba!
Mke wa kiba akienda uwani usiku hivi ndo vile ndugu wa kina wanamtasmini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Mke wa kiba akienda uwani usiku hivi ndo vile ndugu wa kina wanamtasmini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]