Hatimaye ndoa yangu imevunjika kwa sababu ya simu tuu

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Ni ngumu kuamini lakini imetokea kwangu

Mwanamke wangu ameamua kubeba kila kilicho chake na kuondoka na amesisitiza tusijuane kuanzia Leo na niendelee na maisha yangu ,

Chanzo cha mwanamke wangu kusepa ni simu yangu katika kupekua pekua akakutana meseji toka kwa wanawake wengine kama wawili ambao simply ni michepuko yangu ,

Hivyo Basi baada ya kupekua simu na kuona yote hayo imembidi achukue kila kilicho chake na kujiondokeaee zake
 
hongera kwa kuutua mzigo mzito .. shangilia na fanya sherehe kabisa
 
usijali mkuu unajua Hawa wanawake ni lujuria e ingrata.. us Men samos lider.. Ella vino don't worry everything is goingii tu be bien
 
Back
Top Bottom