Wanawake eleweni ni kwanini wanaume tunapenda kutoka na mabinti wadogo kuliko wa umri wetu

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Wanawake hua hawaelewi wanaume kupendelea kutoka na mabinti wadogo zaidi ya umri wao.

Wengi hukimbilia kusema wanaume tunapenda mteremko, kwamba mabinti wadogo tunawarubuni na kuwashawishi kwa kua tunakua tunawazidi nguvu ya ushawishi, kwa nini hatuendi kwa tunaolingana nao.

Naomba leo niwape clue kidogo muelewe. Hizi ni hesabu rahisi tu mnatakiwa kujua.

Ukienda mwaloni/kivukoni sehemu wanauza samaki jioni ukitaka kununua samaki, je utanunua samaki waliovuliwa jana usiku na wakaanza kutandiwa toka asubuhi au utanunua wale waliovuliwa jioni hiyo bado wako fresh na wengine bado wako hai wanacheza kwenye ndoo?

Kwa wastani mabinti wengi wa kitanzania anaanza mahusiano/kuchakachuliwa kati ya miaka 12 hadi 15. Na wa miaka hii watakua wanaanza mapema zaidi kwa kua wanaingia shule wakiwa wadogo kuliko wa miaka yetu ile.(kumbuka yule mwl nani sijui juzi hapa alituhumiwa kutafuna watoto wa darasa la 7).

Kwa hesabu hizo binti wa miaka 30 kwa wastani wa mwanaume mmoja kila mwaka toka ameaza hayo mambo, anakua keshatafunwa na wanaume wasiopungua 18 au zaidi.

Kwa hyo kadri umri unavyoenda mileage inakua kubwa, hata bila mileage, tear amd wear inakua kubwa.

Gari la zamani siku zote haliwezi kua sawa na gari jipya kwenye ubora.

Mboga za majani zilizochumwa jana shambani haziwezi kua na ladha fresh kama zilizochumwa leo.
 
Bahati nzuri it goes either way.

Kuna some very fine younger men wanaojielewa na wana maisha yao fresh lakini wameamua kuwachagua wanawake waliowazidi umri.

Na simaanishi hawa lelemama wanao onekana kwenye mitandao.

Hapo hakunaga kurubuniwa aisee. Ambayo inatofautiana na nyie wanaume.

Mnahonga hela kama zooooote na bado mjitume hadi mkaukie vitandani na bado watawakimbia. lol
 
Zaidi ya kuwaumiza na kuwaharibia maisha hakuna zaidi.... namkuta mbaba anambemenda binti yangu wala simpeleki polisi 'namuasi' (sijui nimelipatia hilo neno) kisha namuacha aende.
unamuhasi... castrate...labda kama ulikuwa na maana tofauti.
 
Back
Top Bottom