Nyie mnao wapangia nyumba wake zenu, wanaliwa huku

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,020
Kwa style hii vijana tusioe, hpa home tupo wapangaj wa4 kuna dada mmoja ana watoto wa2 hyu dada anachepuka mpaka majiran tunaona aibu aisee so kwa mwendo huu anaotoa mbunye afu yeye halioni aibu. Mume wa huyu dada ni wa masafa sana akirud anakaa kidogo anasepa dada ndo anatumia opportunity vizuri kuna boya ndo analala nae sikuhizi mpaka asbh wanatoka wote wanaenda kazin nahisi ni mfanyakaz mwenzake. Angalien sana nyie mnaowaacha wake zenu, mnalipa kodi wahuni wanakuja lala na kuoga kabisa na mkeo analiwa vizuri tu. Kwa dizain hii SIOI
 
Hapo wapi mkuu? Hebu dadavua kidogo, maana umetustua wengi tulio mbali na familia. Hebu sema walau mkoa gani aisee, hahahaa..
 
mi nilishajisemea ntakuja kuoa nikishaachana na hii kazi yangu la sivyo ntaendelea kuwa single mpaka mwisho. unaondoka unakaa miez sita mpaka mwaka unarud bongo mwez mmoja unasepa tena,, SIOI HATA KWA MTUTU
 
Kwa style hii vijana tusioe, hpa home tupo wapangaj wa4 kuna dada mmoja ana watoto wa2 hyu dada anachepuka mpaka majiran tunaona aibu aisee so kwa mwendo huu anaotoa mbunye afu yeye halioni aibu. Mume wa huyu dada ni wa masafa sana akirud anakaa kidogo anasepa dada ndo anatumia opportunity vizuri kuna boya ndo analala nae sikuhizi mpaka asbh wanatoka wote wanaenda kazin nahisi ni mfanyakaz mwenzake. Angalien sana nyie mnaowaacha wake zenu, mnalipa kodi wahuni wanakuja lala na kuoga kabisa na mkeo analiwa vizuri tu. Kwa dizain hii SIOI
Kwa mnachokiona kwenye matendo ya hiyo familia ni haki yenu kama majirani kuwa na mtazamo tofauti juu ya mambo yanayoendelea kwenye mazingira mnayoishi. Mfano kuna mambo yanaweza kutokea yatakayosababishwa na hiyo familia na majirani mkahusishwa kwa namna moja au nyingine, kwahiyo kutoa maoni yako ni sawa tu na sio lazima iwe wapi hata hapa JF ni sawa pia kutoa mitazamo yako kama mambo mengine yanayoendelea kwenye jamii zetu tunayojuzana humu.

Iwe kwa wanaume au wanawake lazima tuwe na misingi mizuri ya kutafuta na kupata wenza wetu kabla ya kuingia kwenye uchumba hadi ndoa, tuombe kwa Mungu atuchagulie watu wema na wenye hofu kwake katika kila jambo tunalofanya.

Kwa huyo mama kama taarifa hii ni ya kweli kama jirani yenu amekosea hata kama ni vitendo vya kimalipizi kwa mumewe aliye mbali au kama alishazingua na yeye hapo awali. Anakaribisha mikosi ndani ya familia yake mwenyewe bila kujua, akipata raha au starehe za mda tu. Uzao wake utakuja kupitia changamoto za namna hiyohiyo bila watoto kujua mama yako au wazazi walifanya mambo gani machafu kwenye maisha yao huko nyuma, na hata maradhi kuingia vilevile.

NB: Ni haki kusema huto "OA" ila naamini busara zako kimaisha zitakufikisha sehemu sahihi ya kimaamuzi hapo mbeleni, ndoa bado ni jambo jema kwenye jamii. Najua rika la ujana tuna chemka sana kwahiyo tutumie ujana wetu vyema pia.
 
Mambo kama hayo ndo unakuja kusikia MTU kafumaniwa kaliwa nyuma .
Utalala Kwa mwanamke kama umemuoa?
 
Usijifunze kwa walioshindwa Ndoa ni zaidi ya hayo unayoyaona,kusaliti ni jambo la maamuzi huyo mwanamke ndo njia aliyoichagua siku zake za fumanizi zinahesabika ila usituharibie tuliopangiwa kwa ujinga wa mtu mmoja
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom