Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu ,leo nina furaha san, Nimeshinda kesi dhidi yangu na Eliza, Na nitakuwa namiliki kila kitu na amepigwa na faini juu ,maana ameonekana kama ni mwizi, Hahaaaaaa haaaaaaa, Usiku mwema kwenu...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Nishauri tu kwamba kama wewe ni msichana umezaa na mwanaume ikatokea amekukwaza hakutaka kulea mtoto na mvulana umempa msichana ujauzito usimkimbie na usimfanye ajione kama alikosea kuwa na wewe...
6 Reactions
46 Replies
8K Views
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori. Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaani hataki kabisa hilo suala kila siku nikumuomba anasema nivute...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari wakuu! Leo nimeenda hospitali moja! Nikakutana na jamaa tuliyesoma wote miaka hyoo!! Nikakuta anajaribu kumweleza mwenzako kuhusu habari ya vinasaba (DNA). Jamaa ikawa haelewi Dokta...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
🙈🙈 Sasa iko hivi, mimi ni msichana mwezi wa kumi inshwallah natimiza miaka 19 kamili. Mimi nimeanza kuangalia porn tokea niko na miaka 13. Sasa ikafika kipindi nikiangalia hizi porn za jinsia...
4 Reactions
83 Replies
14K Views
Jamaa mmoja ambaye jina lake halikupatikana wa nchini Urusi ametoa kali baada ya kuamua kufunga ndoa na PIZZA Jamaa kaamua kufikia uamuzi huo baada ya kuchoshwa na usaliti aliokua anafanyiwa na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau leo nimekutana na changamoto moja kali ambayo mpaka sasa nimeahindwa kuitolea ufumbuzi ...iko hivi kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye NGO moja hiv .. Kiuchumi anajiweza sana tena si...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miaka kama mitatu hivi nilitembea vyuo vikuu vingi hapa nchini, nilishangaa kukuta mabinti wengi ni wajawazito, nilivyouliza kunani wakasema ni fashion, wengi nilichukua mawasiliano yao kwa lengo...
11 Reactions
54 Replies
6K Views
Kama wazazi, sio jambo geni kuona watoto, hasa waliofuatana, wakigombana mara kwa mara na wakati mwingine kupigana kabisa na kufanyiana vitendo vya kukomoana. Wengi wetu tunaweza kukumbuka matukio...
11 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna jirani yangu hapa mtaani nimeishi naye vizuri tu kwa muda mrefu, Kuna siku alinifata hapa nyumbani na alikuwa na shida ya pesa shilingi laki 5 taslim, Kwa kuwa nilimuamini nikampa vizuri tu...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari zenu wote naomba kupata maoni yenu juu ya hili swali aliloulizwa jamaa yangu, Uzi tayari
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauliza tu sio kwa mabaya unajua sisi wanaume huwa hatupendi bwembwe kwenye maisha yetu, tofauti na hawa viumbe walioteta na nyoka kule Edeni Kufanya sherehe ya harusi ni jambo jema sana lakini...
26 Reactions
287 Replies
71K Views
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha...
3 Reactions
84 Replies
14K Views
Wanaume kwa wanawake hebu tujuzane hapa. Ni nini hasa unampendea mpenzi/gf/bf/mke/mme wako? Inawezekana dunia ya sasa tunakosea vipaumbele vya msingi kwenye mahusiano ndio maana mahusiano ya siku...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Baada ya kukaa mjini mda mrefu mwezi ulopita niliamua kwenda kijijini kuwasalimia wazazi. Katika mizunguko ya hapa na pale hapo kijijini nilikutana na rafiki angu wa toka kitambo japo sikua na...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana [emoji16],ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa...
16 Reactions
64 Replies
18K Views
Beatrice Acen kutoka wilayani Apac nchini Uganda, Moses Okot (46) anauguza jeraha baada ya mkewe kumkata uume kwa madai ya kukosa unyumba. Ingekuwa ndio mimi nimekatwa 'uume', lazima ningekata...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa. Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa...
4 Reactions
158 Replies
17K Views
Back
Top Bottom