Actually sipendi kumsema vibaya mama mzaa chema ila kuna mambo yalianza kunikera. huyu mama alikuwa ananikosea sana heshima. ikifika saa 4 usiku anampigia mtoto wake eti kumsalimia na kumtakia...
Ndg zanuni,
Habari ya jioni hii ikiwa leo tarehe 29 Jumapili.
Waungwana niende moja kwa moja kwenye mada.
Mume wangu ananikwepa anitendei Haki katika kutimiziana mahitaji yetu ya...
Naomba radhi kama nitakuwa nimeongea kinyume na maadili.
Najua jina langu lina akisi tabia mbaya lakini sitowacha kulisema hili kwa manufaa ya wengi.
TWENDE
Juzi jumamosi - dada mmoja ambaye...
Kuna watu wanadai ndoa za kanisani ndo zina complications nyingi na wadada wake ndo wanasumbua, wakidai jiran zetu wana make best wives.
Nasema hivi havina uhusiano.
Nyie tafuteni sababu nyingine
Raha ya mtu kufanikiwa ipo kwenye kukubalika na kila mtu haswa wale wachache wanaojifanya hawamkubali mtu kirahisi.
Watu wengi uangaika kutafuta kukubalika na wale wachache wanaowachukulia poa...
1. Wasikuue lakini wakulipizie Kisasi kile kile kama ulichokuwa ukimfanyia Mke wa Mtu?
2. Wasikuue lakini wakulipishe Kiasi kikubwa sana cha Pesa ambazo zitakufanya uwe Masikini Milele?
3...
Kwa miaka yangu hii 39, nimebahatika kuwa na Watoto 3, na kutalikiana na mama yao mahakamani mwaka moja na nusu sasa.
Kama inavyo sema biblia” afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa” 1 Wakorintho...
Na. Robert Heriel.
Huwaga sipendi kutoa makala laini laini. Makala zenye Maneno matamu. Siku zote natoa mada ngumu zenye ukweli mchungu. Haijalishi nani inamgusa au vipi atajisikia. Ukweli...
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, naam vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu, asante Mungu kwa mwaka mwingine wa maisha, am so grateful to you Lord..... Happy birthday to...
Wazee wa kufall in love kwa watoto wakali mpo?
Mara nyingi kazini, mtaani, chuo au popote pale inatokea unamzimia demu mkali na ukimwambia bado haonyeshi dalili au anakubali but anazungukazunguka...
Weekend ndiyo hiyoooo inaenda kuishilia.
Welcome blue monday.
Wanaume tunaendelea kupeana mbinu za namna ya kuishi na hawa viumbe wa kwanza kabisa kuongea na shetani live na hawakuishia hapo...
Kwa mfano ikitokea Mwanaume na Mwanamke ambao walikuwa wakifanya Kazi Ofisi moja na ambao walikuwa wakiaminiwa mno tu ila wakapata Matatizo ya Kisheria na Jamhuri kisha wakasweka Rumande /...
Niende moja kwa moja kwenye Kusimulia.Bila shaka kila mtu amepitia utoto na katika utoto huo pengine alikuwa na tabia fulani mbaya mbaya.
Kwa upande wangu moja ya tabia mbaya niliyokuwa nayo...
Habar wana jf
Kuna wimbi kubwa sana la wanawake kwa wanaume kutafuta wachumba ama wapenzi ktk social Media hasa hapa jf.
Binafsi nimekuwa nikijiuliza ni kweli wapo watu ambao wamefanikiwa...
Yaani hawa wake zetu sijui wapendwe vipi,mtu anahudumiwa na mmewe lakini bado tamaa mbele yaaani ni shida tupu.
Wadau kisa chenyewe kinaanza kama hiv: Katika pita pita kufanya shopping nikafika...
Habar mabaharia wa jf ,
Leo nimerudi kidogo na ka mkasa flani hivi
Ni mda kidg wife hayupo home ,nimekua ninaishi alone
Sasa hapa jirani kwetu kulikua na kaschana (mwanafunzi) alimzoea sna...
Heshima kwenu great thinkers
Bila kupoteza muda let me go straight to the point.
I've been looking for a beautiful girl ambae tunaeza kuwa na serious relationship and maybe later tuwe...
Wakuu msaada, Mimi na mapenzi wangu tunatumia WhatsApp sana katika mawasiliano yetu.
.Hivi Karibuni kaweka WhatsApp yake bila last seen, kwa maana ya kwamba huwezi jua yupo online au...
Habar wana jf? Nibaada ya kupokea kipgo kwa wazee wa kuweka mzigo nimechalazwa laki [emoji1787][emoji1787] hvyo tudiscuss hii maada, ngoja niende direct.
Unawezaje kummudu mwanamke anaye omba omba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.