Wanaume mnapenda kutubebesha lawama

Wanaume mnapenda kutubebesha lawama

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,411
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.

Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.

Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
 
Hivi hilo ni tunda la ukweli ama ni tunda kwa lugha yakitafsida
 
Hapo kwa adam,Adam Hana kosa ila nachokiona hapo mwanamke ni Kama daraja la uovu!! Adam kasema kweli kwani nani kamshawishi ulitaka aseme ng'ombe..?
 
Mtoto anachukua akili kutoka kwa mama https://reachmd.com/news/children-inherit-intelligence-from-their-mother-not-their-father/1475149/
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.

Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.

Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
 
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.

Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.

Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
Sioni sababu ya kumwaga ugari na kususiana mboga
 
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.

Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.

Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
MIT. 10:1 SUV
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.

MTOTO AKIFELI NI WA MAMA AKICHANA WA BABA
 
Hivi hilo ni tunda la ukweli ama ni tunda kwa lugha yakitafsida
Nafikiri ni tafsida. Kwa maana sikuona sababu ya wao kuoneana aibu baada ya kula tunda kama maandiko yanavyosema. Huenda ni tunda lenyewe🤗
 
Adam hakumtupia hawa lawama. Ila alimtupia Mungu mwenyewe. Maana alisema. Si huyu mke ulinipa? Lile lilikuwa ni swali lililojibiwa katika swali.
 
Halafu huyo Adam kwanini alimuacha Eva atembee peke yake ili hali ni mgeni eneo lile! Yeye ndio kasababisha yote haya
Umejua kunichekesha we kamchuchu... hebu nidanganye na mimi unionjeshe tunda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom