Wadau nimekuwa natatizo la kisaikolojia (Physichological Effect) Kila anapokatiza mwanamke mwenye Wowowo au makalio Makubwa yani moyo huwa unaenda mbio Sana huku nikibaki namshangaa....
Wakuu...
Sipo kwenye ndoa japo najiandaa kuwa namke. Niwe mkweli nikwamba nimeishapata mtoto wa nje tatizo langu kubwa nikushindwa kufikia maamuzi ya yupi nimuoe.
Mdada niliyezaa naye miaka mitatu...
Huyu kijana ambae ni kaka mshikaji kiaina kwa sasa baba yake alikua mfanya biashara. Biashara ilianza kunenepa wakati wa awamu wa pili, awamu ya tatu biashara ilikua nzuri kiasi ambacho msure...
Naenda kwenye Maada
Juzi tumelala na mwanamke wangu mda huo mimi npo kwenye usingizi mara nasikia saut ya mtu analia nikaamka taratibu nikaona mke wangu yupo kwenye doto akiota anafanya mapezi...
Habari wakuu, Tujipongeze kwa harakati za kujenga Tanzania yenye viwanda
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu,wazee wa kuuza mechi za ugenini, kavukavu bila soksi
Hivi unajickiaje unaruka na...
Nataka kuvuka boder wakuu kwenda kuemea manzi wa kitusi Sasa sijajua background zao
Kwa wale wandugu wanao wajua in out hawa viumbe wa kitusi ebu nipen details zao na behavior zao wakoje maisha...
Ndugu yetu Abdulkarim anaomba msaada wa kimawazo kwenu wadau (masheikh na mapadri) mlioko humu ndani.
Yeye alikuwa ni muislam mzuri kabisa aliyefanikiwa kuoa wanawake watatu kama dini yake...
Kwa kweli najiuliza maswali ambayo labda wadau humu mtakuwa na majibu.
Mwanamke anatoa wapi na anapata wapi ujasiri wa kuwa na kufuga kitambi?
Mwanamke anakosa haya kabisa wala aibu anakuwa na...
Watu wengi walioshi nchi za nje ya Tanzania
hata nchi za Africa tu kama sisi wanasema hiki kitu
tunacho zaidi watanzania..ni kama utamaduni hivi''
Ntakupa mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia...
Huyu dada tupo naye ofisini. Of course hana cheo kikubwa lakini anapata kamshahara ka kumwezesha kumiliki gari za Mjapani mbili. Ana Toyota Harrier mnazosema new model na Mark X.
Alinambia...
Wakuu naomba msahau mengine yote afu tu concentrate na hii kitu,,wazee wa kuchimbua makaburi tafadhalini sana,haya ni maisha tu na tunapitia na kufanya vitu vingi,,na mkumbuke mimi ni binadamu wa...
Habari zenu wana janvi., narudi kwa mara nyingine hapa janvini kwa ajili ya kutafuta mwanamke wa maisha yangu.
Mwanamke mwema/ndoa hakuna pahala sahihi ambapo unaweza kumpata ila ni sehem yeyote...
Dunia inakwenda kasi sana, utandawazi nao haukubaki nyuma.
Kila mtu anatafuta mafanikio, na kwa tafasiri yetu mafanikio ni pesa! Ni sawa. Tafsiri upendavyo, mafanikio utayahusisha na pesa at some...
Hata yule ambaye hana mvuto kabisa lakini akiamua kupata sex leo hii anapata, lakini kwa mwanaume ni ishu, kwa maana mwisho wa siku Mwanamke ndiyo anaamua kama anakukubali au la, dadadeki, na...
Wakuu kuna demu nimetongoza vizuri kakubali,sasa jana aliniahodi atakuja akanitajia na muda kabisa,akanijulisha yuko barabarani anasubiri gari,nikamuambia kama usafiri shida nimfuate akasema...
Habari zenu wanamember naombeni ushauri wenu...Niko kenya nasomaa chuo mwaka wa pili kwasasa kuna msichana nimetokeaa kumpendaa hii hali imekujaa baaada ya kuwa na ukaribu naye Sana'a....ikanibidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.