Mrejesho: kesi nimeshinda

Wakuu ,leo nina furaha san,

Nimeshinda kesi dhidi yangu na Eliza,

Na nitakuwa namiliki kila kitu na amepigwa na faini juu ,maana ameonekana kama ni mwizi,

Hahaaaaaa haaaaaaa,

Usiku mwema kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera nilikwambia utashinda maana huyo Eliza alileweshwa mapenzi tu na huyo jamaa yake hadi akili zikamwishia.
Acha ajute liwe fundisho kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom