Wanawake mtatuua

Wanawake mtatuua

DVC

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
219
Reaction score
215
Habari wakuu!

Leo nimeenda hospitali moja! Nikakutana na jamaa tuliyesoma wote miaka hyoo!!

Nikakuta anajaribu kumweleza mwenzako kuhusu habari ya vinasaba (DNA). Jamaa ikawa haelewi Dokta akampa mfano mmoja.

Ulikuwa unajua mwanamke maishani mwake akifanya sex na wanaume 10 ila kwa bahati nzuri akapata mwanaume akampa mimba yule mtoto atakayezaliwa atakuwa na tabia kuanzia mwanaume wa kwanza hadi wa kumi (10) ambaye mwanake amewahi kusex nao kabla.

Hapo jamaa akashangaa! Akamuuliza ww mke wako ww ndo uliyemtoa bikra..... au!????
Jama akasema hapana.......

Jamaa kamaliza kwa kusema asante!!
Kila mtu kabaki na maswali , kwama je hv mm mke wangu nimeanza mimi au!??????

Wakuu mlio owaa embu tupeni experience
!!!!

Asante
 
Kajifunze kuandika vizuri kisha urudi hapa

japokuwa sijaelewa kilicho-andikwa lkn h mada ni ya uongo.
 
Rekebisha huu uchafu uliyoujaza katika thread yako mkuu..
1.hyoo
2.ww
3.ndo
4.hv
5.mm
6.owaa
Acha kujitoa ufahamu,fanya masahihisho.
 
Ulichokiandika kisome vizuri, kisha fanya uhariri! Unakimbilia wapi?
 
Back
Top Bottom