Unampendea nini mpenzi wako, do you love him/her or is he/she just tall/cute!

Nobunaga

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,169
4,985
Wanaume kwa wanawake hebu tujuzane hapa. Ni nini hasa unampendea mpenzi/gf/bf/mke/mme wako?

Inawezekana dunia ya sasa tunakosea vipaumbele vya msingi kwenye mahusiano ndio maana mahusiano ya siku hizi hayadumu kabisa au yanakuwa na ups&downs kibaaao.

tall.jpg
 
View attachment 1215678
Wanaume wengi hawana wanchokipenda zaidi ya tendo la ndoa. Kwa wadada ambao wanawapenzi watakubaliana pengine na mimi kuwa mwanaume akishamaliza tendo la ndoa kama mpo Lodge au popote ambapo tendo hilo limefanyika wengi hupenda kuondoka kuendelea na mambo mengine. Hata mazungumzo ya kabla na baada ya tendo huwa ni tofauti
 
We jamaa umetoa siri ya ndani shida ukimpenda sana mwanamke anakua mpumbavu anakua anakuchukulia poa so hata kama unampenda unatakiwa kumficha
 
Wengi haswa walioingia kwenye ndoa wanaishia kugundua haikuwa LOVE bali ilikiwa INFATUATION.

Mifano ya wanayoyaongea ni mengi.. muhimu watu kupiga kichwa haswa kabla ya kudumbukia au kupotezea wengine muda katika mahusiano.
 
Inawezekana kweli wengi wa walio kwenye mahusiano huwa kwenye hili kundi la INFATUATION maana sio kwa rate hii ya kumwagana🤔.
 
Wanaume wengi hawana wanchokipenda zaidi ya tendo la ndoa. Kwa wadada ambao wanawapenzi watakubaliana pengine na mimi kuwa mwanaume akishamaliza tendo la ndoa kama mpo Lodge au popote ambapo tendo hilo limefanyika wengi hupenda kuondoka kuendelea na mambo mengine. Hata mazungumzo ya kabla na baada ya tendo huwa ni tofauti

"Demu asiyejua caressing

Demu asijua denda

Demu asiyejua romance

Demu asiyejua namna ya kumlalia mwanaume kifuani baada ya show kali"

Huyo demu ashanikosa, sababu hakuna vitu vzr km hivyo hapo juu.

Wewe unayekojoa na kubeba virago au unalala upande wa pili huku unakoroma utaibiwa sana.
 
Kwa ulaghai wa siku hizi endelea kubaki akudange vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom