Asilimia kubwa ya mabinti waliozalishwa vyuoni wanalea watoto wenyewe

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,822
11,553
Miaka kama mitatu hivi nilitembea vyuo vikuu vingi hapa nchini, nilishangaa kukuta mabinti wengi ni wajawazito, nilivyouliza kunani wakasema ni fashion, wengi nilichukua mawasiliano yao kwa lengo la kufanya utafiti wa maisha yao baada ya chuo, mpaka sasa nimehoji mabinti 50, 42 wamesema walitelekezwa baada ya kumaliza chuo, ni 8 tu walio olewa baada ya chuo.

Kuna jambo la kujifunza hapa na kuwausia mabinti zetu, na wadogo zetu wanapoenda vyuoni.
 
Binti kama binti huwezi kumpatia wosia akakuelewa akiwa katika ubinti.
Wewe mwache kwanza,
ule ubinti ukimtoka lazima yeye mwenyewe atulie.
Tofauti na hapo useme eti unampa ushauri binti, BINTI KABISA UMPE USHAURI?
Maisha ndiyo yanawafunza mabinti!
Hasa akipata mimba, na aliyempatia mimba kuikataa, na hapo awe hana uhakika wa kupata hela tena.
Hapo kidogo akili huwa zinakaa sawa.
 
Ni heri hawakufanya abortion...hongera zao kwa kuwa na ujasiri wa kuvumilia miezi tisa na kujifungua salama

Kuhusu kuhusiwa tunavyokwenda chuoni nafikiri asilimia kubwa huwa tunaambiwa hivyo kabla ya kwenda na hata tukiwa huko tunakumbushwa mara nyingi
Kimsingi sio kwamba hatushauriki,ni vile tu nyege hazinaga baunsa,so jambo la msingi ni kutoa elimu ya mahusiano labda kwa kutumia condom na mazaga zaga kama hayo
 
Kama mwanafunzi wa chuo hajui elimu ndogo kama hii mpaka anafika chuo basi ATAKUA NA BICHWA BOVU!
 
Unatetea ujinga unaofanywa na waschana wenzako...nyie ndo wakina mama wa baadae mnaokuja kuwatetea mabinti zenu pale wanapofanya ujinga....

msichana mpaka anafika chuo hajui matumizi ya condom.?.... Aujui kuhesabu siku zake?.... Stupid.... Ni kwamba sasaiv zama zimebadilika waschna mmekuwa rahisi sanaa...ndo maana mimba hazikauki...

Ukiwa na malengo yako huwezi pata mimba kizembe namna hiyo
Sio kila anayefika chuo ana elimu ya uzazi...kila mjanja ana sehemu anayokamatika,ndogo kwako kubwa kwake

Huwezi kujua kila kitu
 
Huwezi kula pipi na maganda haina radha
Unatetea ujinga unaofanywa na waschana wenzako...nyie ndo wakina mama wa baadae mnaokuja kuwatetea mabinti zenu pale wanapofanya ujinga....

msichana mpaka anafika chuo hajui matumizi ya condom.?.... Aujui kuhesabu siku zake?.... Stupid.... Ni kwamba sasaiv zama zimebadilika waschna mmekuwa rahisi sanaa...ndo maana mimba hazikauki...

Ukiwa na malengo yako huwezi pata mimba kizembe namna hiyo
 
Ujinga ni nini ?

Ujinga ni kuamini kwamba hao mabinti walikuwa wazembe au wapuuzi.
Hapa lawama inatakiwa zielekezwe kwa me na ke wote wawili.
 
Unatetea ujinga unaofanywa na waschana wenzako...nyie ndo wakina mama wa baadae mnaokuja kuwatetea mabinti zenu pale wanapofanya ujinga....

msichana mpaka anafika chuo hajui matumizi ya condom.?.... Aujui kuhesabu siku zake?.... Stupid.... Ni kwamba sasaiv zama zimebadilika waschna mmekuwa rahisi sanaa...ndo maana mimba hazikauki...

Ukiwa na malengo yako huwezi pata mimba kizembe namna hiyo

Hakuna sehemu nimetetea ujinga,hebu soma vizuri basi kabla hujanimwagia vijipovu vyako
 
Back
Top Bottom