Maendeleo ya technology yatatulazimu kuzima simu na kukaguana kabla ya kuingia faraghani

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
142,189
2,000
Kuna mwanamuziki wa oldies aliimba DON'T FALL IN LOVE WITH A DREAMER... tuna makumi kwa maelfu ya watu ambao hawajitambui, wanawake kwa wanaume, wasichana kwa wavulana.. Wasiojua nini maana ya faragha... Nini maana ya kuwa watupu pekeyao chumbani wakiwa wamefunga milango kwa makomeo vitasa na funguo, huku mapazia ya madirisha yakiwa yameshushwa vizuri... Wengine huzima taa kabisa hata kama ni mchana.... Lile ni tendo la faragha

Kila kitu kibaya kimeanzia ulaya.. Huko wenzetu kujirekodi wakiwa faraghani wanafanya zinaa ni kitu cha kawaida kabisa.... Lakini baadae wakalihalalisha hili tendo na kuligeuza biashara kamili... Utandawazi ukatufunua macho kuwa huko kunakoitwa kumeendelea wenzenyu wanafanya hivi na hivi
. Ngono na njia moja
. Ngono ya njia mbili
. Ngono za njia tatu
. Ngono za jinsia mbili kwa moja
. Ngono za jinsia moja
. Ngono za makundi
. Ushoga
. Usagaji
Wakamaliza kote huko wakaingia ngono za mitulinga ya vinyago kama sehemu za siri... Wakamalizia na ngono za wanyama na binadamu.. Haya yote tulikuwa tunayaona tu mitandaoni na kuona ni kitu cha ajabu mno...

Taratibu tukaanza nasi kuiga... Tulianza na chabo... Gesti za uswazi ikawa ndio fasheni... Mnafanya yenu kuna watu wanawafaidi.... Iliponoga hii watu wenye ma hotel makubwa wakaiga... Zikafungwa kamera za siri na kurekodiwa kwa siri......... Mambo yakawa sasa ni jambo la kawaida.. Wasanii wakiwa wahanga wakubwa... Video zao za ngono zikaenea mitaani kama njugu

Sasa naona tume advance... Lakini kijuha, kilofa, kipuuzi na kipumbavu kabisa... Kupigana picha kwa ridhaa wawili wawapo uchi chumbani wakati mwingine
. wakitekenyana
. wakifanya ngono
. wakiwa wamemaliza
. wakigeuzana na kupinduana.. Si picha tu na video juu.... Halafu siku ya siku mmoja kati yenu kwa sababu zozote zile anavujisha mitandaoni halafu anaweza au asiweze kukana.... Mambo ya kipuuzi kabisa haya yanafanyika sasa.... Tukumbuke kuna kesho... Tukumbuke maisha bado yapo.... Hatuyajui yajayo na picha ama video hizo zitakuja kutumikaje.....
Kwa hii sasa hivi kama humuamini sana mwenzako ni heri kuzima simu na kukaguana kabisa kama hakuna kamera za siri mwilini ndio muingiliane la sivyo watu watavunjiana sana heshima na kuharibiana.....
 
Henry Nkya

Senior Member
May 9, 2018
134
250
Unaweza ukazima simu lakini ukategeshewa kamera kwenye chumba bila hata ya wewe kujua na ukarekodiwa.

Siku hizi kuna vikamera vidogo vinavyoweza kutegeshwa sehemu bila ya wewe kugundua.

It just ain’t safe no more.

Lakini, hata ukirekodiwa so what?
 
NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,275
2,000
kamera za siri mwilini... wataandamwa wanasiasa, wanausalama waandamizi na wasanii.

Mimi teacher Wa darasa inanihusu ya kurekodiwa kwa simu na laptop.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
142,189
2,000
Unaweza ukazima simu lakini ukategeshewa kamera kwenye chumba bila hata ya wewe kujua na ukarekodiwa.

Siku hizi kuna vikamera vidogo vinavyoweza kutegeshwa sehemu bila ya wewe kugundua.

It just ain’t safe no more.

Lakini, hata ukirekodiwa so what?
Kagua kila sehemu
Switch sockets
Handle za milango na madirisha
Cock za maji
Lakini huko ni guest kwahiyo unacheat! Kama uko single thats fine.... Lakini if you are married....
Still you are not safe even if uko free unayakumbuka ya Lemutuz?
 
Henry Nkya

Senior Member
May 9, 2018
134
250
Kagua kila sehemu
Switch sockets
Handle za milango na madirisha
Cock za maji
Lakini huko ni guest kwahiyo unacheat! Kama uko single thats fine.... Lakini if you are married....
Still you are not safe even if uko free unayakumbuka ya Lemutuz?
Ya Le Kokobanga nayakumbuka but guess what though? The sky didn’t fall and the muthafcuka is still living his life.

Sawa, watu walicheka kwa siku mbili tatu and life went on.

Bottom line is, if you have trust issues then don’t venture away from your principal place of abode.
 
Mlima simba

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,207
2,000
Kwa hii sasa hivi kama humuamini sana mwenzako ni heri kuzima simu na kukaguana kabisa kama hakuna kamera za siri mwilini ndio muingiliane la sivyo watu watavunjiana sana heshima na kuharibiana.....
Hapa dawa ni kuzima kila kitu kuanzia simu , laoptop, taa na kufunga madirisha yote.

mbalizi1 njoo uongezee
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,696
2,000
D.Trump alikuwa sahihi kabisa kusema kuwa waafrika tunachokifahamu ni stori za ngono na ngono yenyewe ndiyo maana wengi wetu tunakumbwa na ugonjwa wa umasikini.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
142,189
2,000
Ya Le Kokobanga nayakumbuka but guess what though? The sky didn’t fall and the muthafcuka is still living his life.

Sawa, watu walicheka kwa siku mbili tatu and life went on.

Bottom line is, if you have trust issues then don’t venture away from your principal place of abode.
he is the old rug anyway but how about the future to be of such a young soul Nandy... Her relationship I mean! Her carrier n the sort kind of things... Politic? I don't advise her
 
Henry Nkya

Senior Member
May 9, 2018
134
250
he is the old rug anyway but how about the future to be of such a young soul Nandy... Her relationship I mean! Her carrier n the sort kind of things... Politic? I don't advise her
Even with her....what was so bad about her underwear? Yeah, per usual people made fun of it but life went on.

Just the other day I saw she released her new video.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom