Dear Ladies

Dear Ladies

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Kuna wakati huwa najiuliza ni kitu gani kimepungua kwenye bongo zenu? Mnakwama wapi? Thamani yeny mbona hamuipi thamani? Hivi ni kweli utandawazi ni chanzo cha haya yote mnayofanya? Kwanini mapenzi yanawafanya mziwekee password akili zenu alafu mzisahau hadi mnashindwa kutambua kwamba mahali mlipo si sahihi? Ni ubaya gani wanaume wenu wawafanyie ili mjue hawana nia njema na nyie?

Haiwezekani mwanaume amekutongoza na amekwambia ana mke wake au mchumba wake ila bado unakubali kuanzisha nae mahusiano huo ni uzembe na ushetani wenye level ya PHD. Au hata kama hajakwambia kwamba anamtu ila anakuonesha kila aina ya dalili kwamba yupo kwenye mahusiano na mtu mwengine ila bado tu umemganda kama ruba huku ukijipa moyo atabadirika au atatulia, huo ni UTAHIRA. Jiongeze.

Ifikie kipindi msiziweke shida zenu mbele kiasi kwamba mkashindwa kutambua thamani zenu. Wanaume huwa na kawaida ya kuwachukulia kama mnajichukilia, ukijichukulia wewe ni cheap ndivyo hivyo hivyo mwanaume atakavyokuchukulia. Shida zako za kifedha na kihisia zisikufanye uwe choo kwamba kila mwanaume atakapobanwa mkojo anakuja kukukojolea.

Wewe sio dampo kwamba kila takataka ya mwanaume unaipokea, wewe sio wa level hiyo. Uzembe wenu wa kufikiria na umbumbumbu wenu kwenye mapenzi ndio unawafanya muwe vyombo vya burudani kwa wanaume. Inafikia hatua mwanaume anakutumia hadi anashindwa akutumie kwa njia gani nyengine, anaishia kukurikodi ukiwa uchi. Kwakuwa akili yako ina password na password hizo umeisahau, akilo haifunguki na kila kitu unaona sawa.

Unajiachiiia, unajitanuuua, unajisambaaaza huku ukichukuliwa video ukiliwa uroda. Inauma sana. Kama ukitambua mapema mtu ulienaye si sahihi bila shaka hutokubali kuendelea kutumika kiasi hiki.

FB_IMG_1571029929574.jpeg
 
Sasa watu wetu /ndoa zetu hawaeleweki Unataka tufanyeje lakini ???
Na kila mwanaume ana mtu tufanyeje sisi? Wengi walio Singo viben ten mambo miaaa tunasaidianaje hapo?

Mambo mengine mtusamehe bure tu wacha tubanane hapohapo

Cc Smart911
 
Mmmmn dada Alvin naomba kwanza upunguze mihemko twende taratibu kabisaa na huu mjadala.

Hawa watu wakikutana na kutongozana wanafanya hivyo kwa makubaliano gani na malengo gani kwanza? Hawa ijue ni watu wazima na uamuzi au makubaliano yao wakiwa timamu yana uhalali kwa upande mwingine.

Na kumbuka mvuto wa kimapenzi kwa mtu haufi kwa wengine sababu mmoja kaoa au kaolewa. Unaweza kuta pande mbili zote zipo kwenye ndoa takatifu kabisa na bado zikavutiana kimapenzi.

wako kwa mfano wanaowapenda waume za watu sababu tu wamewatambua wanawapena na wanawajali kifedha na kihisia kuliko wasio oa. Na pia wakati mwingine hawahitaji hayo toka kwa huyo mtu daima bali kwa kipindi fulani tu na hisia zao zikitimizwa kila mtu na hasini zake.

labda tatizo kwa wale wanaotaka kuvunja ndoa za wengine ili wao wawarithi hao walio kwenye ndoa zao kimoja. Lakini pia hata mwenye ndoa akikubali kuvunja ndoa yake ili abaki na huyu aliyeiingilia ndoa bado pia ni mtu mzima na anawafanya maamuzi hayo akiwa timamu.

otherwise niseme tu kuwa hao unaoona wanateseka or kujidharirisha kwa kuchukuliwa ovyo na wanaume wengine hiyo ndo fantasy yao ujue..... rejea uzi wa zero IQ kuwa hana starehe nyingine zaidi ya kuchakata papuchi na kaungwa mkono na watu kibao humu.

mm na wewe tusiwe hivyo tujitunze umesikia eeeeh?
 
Kuna wakati huwa najiuliza ni kitu gani kimepungua kwenye bongo zenu? Mnakwama wapi? Thamani yeny mbona hamuipi thamani? Hivi ni kweli utandawazi ni chanzo cha haya yote mnayofanya? Kwanini mapenzi yanawafanya mziwekee password akili zenu alafu mzisahau hadi mnashindwa kutambua kwamba mahali mlipo si sahihi? Ni ubaya gani wanaume wenu wawafanyie ili mjue hawana nia njema na nyie?

Haiwezekani mwanaume amekutongoza na amekwambia ana mke wake au mchumba wake ila bado unakubali kuanzisha nae mahusiano huo ni uzembe na ushetani wenye level ya PHD. Au hata kama hajakwambia kwamba anamtu ila anakuonesha kila aina ya dalili kwamba yupo kwenye mahusiano na mtu mwengine ila bado tu umemganda kama ruba huku ukijipa moyo atabadirika au atatulia, huo ni UTAHIRA. Jiongeze.

Ifikie kipindi msiziweke shida zenu mbele kiasi kwamba mkashindwa kutambua thamani zenu. Wanaume huwa na kawaida ya kuwachukulia kama mnajichukilia, ukijichukulia wewe ni cheap ndivyo hivyo hivyo mwanaume atakavyokuchukulia. Shida zako za kifedha na kihisia zisikufanye uwe choo kwamba kila mwanaume atakapobanwa mkojo anakuja kukukojolea.

Wewe sio dampo kwamba kila takataka ya mwanaume unaipokea, wewe sio wa level hiyo. Uzembe wenu wa kufikiria na umbumbumbu wenu kwenye mapenzi ndio unawafanya muwe vyombo vya burudani kwa wanaume. Inafikia hatua mwanaume anakutumia hadi anashindwa akutumie kwa njia gani nyengine, anaishia kukurikodi ukiwa uchi. Kwakuwa akili yako ina password na password hizo umeisahau, akilo haifunguki na kila kitu unaona sawa.

Unajiachiiia, unajitanuuua, unajisambaaaza huku ukichukuliwa video ukiliwa uroda. Inauma sana. Kama ukitambua mapema mtu ulienaye si sahihi bila shaka hutokubali kuendelea kutumika kiasi hiki.

View attachment 1232641

Kosa la kuchepuka halikutosha akaongeza na kosa ya kupiga picha ZA hovyo na video

Sad
 
Back
Top Bottom