Kama wao wanatufanyia sisi, kwa nn na sisi tusifanye? Elezea wewe kisa Chako kikoje

ConsciousMan

Member
Mar 28, 2018
56
67
Niaje wakuu, Siku zote huwa tunasema mkuki Kwa nguruwe mtamu Kwa binadam mchungu.
Kuna Mzee mmoja tulikuw tunaishi nae jirani wakat nasoma chuo mwaka wa tatu chuo flan Dsm. Alikuw ana uwezo uwezo kidgo Kwa pale mtaani alikuwa kajenga na Gari zake kama 2, to make story short nlikuja kuskiaga alinimegea dem wng ambae alikuw anakujaga geto siku za weekend.
Well iliniuma sana coz nlijua anatumia uwezo alio nao against me, so as human na mm nkapanga revenge.
Nkaanza mazoea na mke wake ambae n mtu mzima kdgo kiukwel nlikuw naogopa sna watu wa namna ile but ujasiri ulikuja tu kutokana na mchungu so nkaanza tabia ya kumsifia kila tukionana kuw ni mzuri na alikuw ananchekea tu
Had siku ya siku nkaomba namba akakubali na nkamtongoza Kwa njia ya simu, mara ya kwanza alikataa lakn baadae alikuja kukubali baada ya kuonesha u serious, nikaja kurevenge Kwa kutembea nae, na kiukweli mpka leo imenipa confidence ya kutembea na watu wa umri mkubwa,
Waume zao wanatugongea sana madem zetu aisee, kwa nn na sisi tushindwe???
 
Aiseee amemwaga mbonga we umemwaga ugali wake na akijua unafikiri atakufanya ikiwa wewe uliugulia maumivu moyoni
 
Kwa hyo mtoa Mada hadi Leo unakula wakubwa zako?

Curious question hivi kwa nini ukitongoza mdada ambae anajua amekuzidi umri inakuwa rahisi kumpata? Au swali ni vice versa
 
Niaje wakuu, Siku zote huwa tunasema mkuki Kwa nguruwe mtamu Kwa binadam mchungu.
Kuna Mzee mmoja tulikuw tunaishi nae jirani wakat nasoma chuo mwaka wa tatu chuo flan Dsm. Alikuw ana uwezo uwezo kidgo Kwa pale mtaani alikuwa kajenga na Gari zake kama 2, to make story short nlikuja kuskiaga alinimegea dem wng ambae alikuw anakujaga geto siku za weekend.
Well iliniuma sana coz nlijua anatumia uwezo alio nao against me, so as human na mm nkapanga revenge.
Nkaanza mazoea na mke wake ambae n mtu mzima kdgo kiukwel nlikuw naogopa sna watu wa namna ile but ujasiri ulikuja tu kutokana na mchungu so nkaanza tabia ya kumsifia kila tukionana kuw ni mzuri na alikuw ananchekea tu
Had siku ya siku nkaomba namba akakubali na nkamtongoza Kwa njia ya simu, mara ya kwanza alikataa lakn baadae alikuja kukubali baada ya kuonesha u serious, nikaja kurevenge Kwa kutembea nae, na kiukweli mpka leo imenipa confidence ya kutembea na watu wa umri mkubwa,
Waume zao wanatugongea sana madem zetu aisee, kwa nn na sisi tushindwe???
Demu wako akigongwa inauma sana ila kumbuka kwamba hujamuoa. Na utakapokuwa addicted na wake za watu, jiandae kwa lolote litakalotokea kijana.
 
Halafu sijui kwann, ukizoea kutembea na wanawake walio kuzid age unabaki ukiwaona wale agemate wako kama Dada zako tu.
 
Demu wako akigongwa inauma sana ila kumbuka kwamba hujamuoa. Na utakapokuwa addicted na wake za watu, jiandae kwa lolote litakalotokea kijana.
Kugongewa Kwa namna yoyote inauma.
Cha msingi n kwamba nowdays I already know how the game goes
 
Utaambulia ukimwi na magojwa mengine ya zinaa kwenye kusingizio cha kurevage chunga sanaa kijana au watu wazima wamepita kwingi
 
Imenichukua zaidi y miaka miwili kuacha tabia ya kuvutiwa na watu wazima tena baada ya kuonana na psychologist,,,,,nilikua n ufundi wa ajabu hata aliyemzidi umri mama nlikua napita nae kiroho safi
 
Hivi shida hua ni nini mkuu?
I never had a girlfriend of ma age
Hata ilipofika umri wa kuoa nilitaka kuoa aliyenizidi umri,,,,,baada ya kuwasilisha jina LA yule mwanamke kwa kaka yangu alishangaa sana ,,,nilivyotaka m-convice alibadilika ghafla akawa kama simba aliyejeruhiwa huku akisema. "Unataka kuharibika huku nakuona ,unadhani naumia kiasi gani," nikajua natakiwa think twice,,,,,end of the day nilikuja oa niliye mzidi miezi tu,,,,,

Hakuna kilema kibaya kama kupenda watu wazima na walivyo wajanja ukiwa kweli unavutiwa nao akikuona tu anakutambua mapema sana....
 
Back
Top Bottom