Bado pungufu 1 tuu nichomoe betri

Bado pungufu 1 tuu nichomoe betri

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Wakuu,nna majukum mazito ambayo yanapelekea nichungulie sana pesa.
Na ukizingatia uchum umeyumba.
Tatzo ni kwamba bint niliyenaye mana niliamua nifanye chaguo kat ya wale kadhaa

Huyu bint ana vigezo vya kuumbika ila AKILI HANA,..na shule hana
Upembuz yakinifu ulimweka huyu na mapunguf yake lakin aliwazid wenzie

Tatzo AKILI HANA,,,anaweza ngangania kitu tena cha matumiz ya pesa hata kama huna na anajua huna.

Kaul yake hii inanikera sana
"Kwan tareh si ndo hiz"

Anamaanisha mshahara...yaan yeye anaupangia matumiz mshahara wangu..
Hata ukimkanya hii kaul huwa anairudia sana.

Hii inanipelekea niwakumbuke sana ma x

Na NMEAMIN KWEL KUISH NA MTU AMBAE HAMJAZALIWA PA1 NI NGUM SANA

Sjui wenzangu mnawezaje kudeal na changamoto...hapo sijamuoa bado
 
download.jpeg
 
Seek a solution.. Jaribu kumbadilisha hiyo ni mindset tu..

Mfungulie hata kabiashara kadogo. Hapo ndo atajua upatikanaji wa hela ni mgumu na atakuwa na nidhamu.

Kwenye haya maisha usikwepe matatizo, maana yatakufuata tu. Njia ni kutengeneza solution utashangaa matokeo yake.

Hata kwenye kuutafuta utajiri, huwezi kuupata kama unazikimbia fursa zenye changamoto
 
Ni kwel mkuu asante
 
Wakuu,nna majukum mazito ambayo yanapelekea nichungulie sana pesa.
Na ukizingatia uchum umeyumba.
Tatzo ni kwamba bint niliyenaye mana niliamua nifanye chaguo kat ya wale kadhaa

Huyu bint ana vigezo vya kuumbika ila AKILI HANA,..na shule hana
Upembuz yakinifu ulimweka huyu na mapunguf yake lakin aliwazid wenzie

Tatzo AKILI HANA,,,anaweza ngangania kitu tena cha matumiz ya pesa hata kama huna na anajua huna.

Kaul yake hii inanikera sana
"Kwan tareh si ndo hiz"

Anamaanisha mshahara...yaan yeye anaupangia matumiz mshahara wangu..
Hata ukimkanya hii kaul huwa anairudia sana.

Hii inanipelekea niwakumbuke sana ma x

Na NMEAMIN KWEL KUISH NA MTU AMBAE HAMJAZALIWA PA1 NI NGUM SANA

Sjui wenzangu mnawezaje kudeal na changamoto...hapo sijamuoa bado
We na ww akili yako ni kama yake tu. Hizi ndo maada gani sasa?
 
Yale ni makandokando kila mwanaume huwa nayo
 
Wewe jamaa si kuna kipindi fulani ulikuwaga na single mother, na ulikuwa una msifia sana humu kwamba ana sifa zote za kuwa mke. Nini kilikufanya ukampiga chini??
Yale ni makandokando kila mwanaume huwa nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom