Mahusiano na mwanamke aliyekeketwa

Mahusiano na mwanamke aliyekeketwa

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
967
Reaction score
1,575
Habari wana jf..hasa jukwaa hili la mmu.na tumaini jumatatu ya leo itaenda vyema na imeanza vyema kwa wengi wetu.basi allah atusaidie sana..moja kwa moja naomba niende kwenye mada husika
Nimekuwa kwenye mahusiano na mchumba wangu takribani ndani ya miaka sita,kiukweli ananipenda na amini na ninampenda pia licha ya kuvumiliana mengi na migogoro kuwepo kila kukicha ila mungu amekuwa akibariki,bahari inakuwa shwari penzi linaendelea.
Lakini mwaka uliopita mwanzoni kabisa mwa mwaka nilibahatika kufahamiana na rafiki wa karibu wa mchumba wangu,ni marafiki sana kiukweli mala nyingi nimekuwa nikiwasikia wanajiita pacha.
Baada ya kufahamiana na mwana dada huyu tulianza kutafutana mala kwa mala,utani mwingi,kuchart kwa sana.mpaka kufikia mwezi wa nane mwaka jana ukaribu kati yetu ulikuwa umezidi ukaanza kuvuka mipaka sasa kwakuwa mchumba wangu hiki kipindi sikuwa nae karibu,alikuwa field aliamua kuchagua mkoa mbali kabisa na tuliopo kwajili ya field yake hivo kwa kifupi naweza sema hapa jijini nilibakia mimi na pacha wake huyu ambae ni rafiki yake wakaribu.nakumbuka ilikuwa weekend ya kwanza ya mwezi wa tisa aliniomba nimpe escot siku ya jumamosi alikuwa anampango wa kuelekea beach kwajili ya kurefresh akili baada ya kazi siku za week.ok nikasema sio mbaya nipe mda itakuwa mda gani na mimi nitakutafuta then tuelekee.
Mda ulipofika nilimtafuta hewani akanipitia maskani tukawasili eneo husika.kiukweli siwezi andika yote tuliofanya ila nitaandika kwa ufupi tu ili nieleweke kirahisi,nilimpiga picha alinipiga picha tukanywa tukaoga utani ukapitiliza tukajikuta tupo romantic zaid.kadri ya siku zilizo zidi kwenda alianza kupata wivu juu ya mahusiano yangu na rafiki yake pacha wake ambae ni mchumba wangu.wakati huo ata bado hatujakutana kimwili ila sms za kimahaba emoji za makopa kopa picha za nusu utupu tunatumiana kiukweli,lakini hakuwahi nitamkia ananipenda wala sikuwahi fanya hivo kwake pia,siku zilizidi kusogea mahusiano yetu kama yakawa yamekuwa kwa kiasi flani tukaanza kupeana zawadi,nakutembeleana mida ya usiku,kwasababu yeye anakwake na mimi ninakwangu pia hivo kuna siku naenda kulala kwake kuna siku anakuja kulala kwangu lakini kukutana kimwili ilikuwa bado,mwezi wakumi field ikawa imeisha akarudi mchumba wangu yeye anaishi kwao lakini.hivo umbali ukawa hamna tena kuchati mimi na rafiki yake ikawa sio sana kukutana pia kukapungua maana mda mwingi na kuwa na mchumba wangu,muda mwingine mchumba wangu anakuja na rafki yake mpaka mahali ninapoishi tunakaanao stori kwa sana,na kuna nyakati pia tunatoka kula bata tukiwa wote watatu,lakini kipindi chote ichi mchumba wangu hakuwahi hisi wala kugundua kuwa mimi nina mahusiano na rafiki yake maana tulifanya siri kwa makubaliano,japo kuna nyakati huyu mwana dada ananitishia kumwambia mchumba wangu kuwa ninamahusiano nae.
Mwezi wa kumi na mbili mchumba wangu alisafiri tena akatuachia uwanja mimi na rafiki yake,tulipanga usiku mmoja tukutane kwajili ya tendo sasa, maana kipindi chote hicho hatukuwa tumewahi fanya kama nilivosema hapo awali.tulikutana kama tulivo panga,tendo likaanza lakini wakati tumesha andaana kwa muda mrefu takribani dakika arobaini mtoto wakike akafunguka kwamba anaomba aniambie kitu kabla hatujafanya tendo,nikamjibu haina shida niambie,mtoto akaanza lia kwa uchungu uku anabuguja maneno kwamba yeye amekeketwa na amefanyiwa hivi akiwa mdogo sana hata hajielewi yaani amekuwa mtu mzima na amejikuta amekeketwa tayari hivo anaomba nimsamehe na nimvumilie ila ananipenda sana na hawezi niacha anavodai,anaamini ipo siku nitaachana na mchumba wangu na kuwa na yeye.kiukweli mimi mzuka ulikata na wala sikutamani kuendelea na tendo tena,ila kama mwanaume sikutaka onesha udhaifu kwa mtoto huyu wa singida hasa nilipotizama mapaja yake meupe kupindukia na chura yake yenye kilo za kutosha,nikajikuta kama sijasikia alichoniambia,nikampa pole nikamwambia asipate taabu mambo kama hayo nikawaida sana.mtoto akawa mpole nikafanya vilivo,usiku ukapita kukakucha siku sikazidi kwenda

Lengo langu ndungu zangu nifanyaje hili niepukane na huyu binti ni mzuri kiukweli kuliko hata mchumba wangu,kama mnavowajua wanadada wa singida lakini siwezi kuwa na mwanamke aliefanyiwa hivi,yaani saivi kaniganda kama gundi,ataki niwe namtafuta mchumba wangu mbele yake wala hataki kuona picha za mchumba wangu kwenye simu yangu,yani anawivu kuliko.na mimi mchumba wangu siwezi muacha kiukweli maana nikifikiria nilivomkuta mbichi kabisa hajuhi chochote kuhusu mapenzi yote nimemfunza mimi,alafu niwaachie watu wengine dah akili hainipi,naombeni ushauri wenu.
Nawasilisha
ahsanteni
 
Kwa hiyo Mr.
Hukuona uachane na huyo pacha kwa sababu sio haki kwa bebe wako.
Ila umeona umuache kwa sababu ya alikeketwa.

Yaan we jamaa.
Umekoroga mwenyewe.
 
Sasa kama huwezi kumuacha yeyote unataka tukushauri nini!??? Huyo alokeketwa vipi ladha yakee mkuu..!??? Tamuuu zaidi ya mchumba wako nin...maana umepagawaa
 
Ushauri gani hapo ? Kama unampenda kweli kwanini miaka 6 hakuna ndoa? Kwanini utembee na rafiki yake wa karibu ? Akigundua huo uhuni unaomfanyia itakuwa? Je angefanya yeye ungechukua uamuzi gani? Humpendi huyo dada your just passingby
 
bandiko lako halivutii kiuandishi.... unaandika vile kama unasimulia story, hata aya imekushinda ?
 
Ushauri wangu ni wewe kumuomba Mungu akupe akili

Mala ndo ulikuwa unamaansha mara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom