Ni ndoa kama ndoa zingine, inatambuliwa kisheria.Ndoa ya kiserikali ikoje kuna msharaha mwisho wa mwezi?
Naomba kujua undani wake.
Ohoo hii ndiyo ndoa nzuri kuliko zote duniani, vipi wanavaa pete au ni pekupeku.Ni ndoa kama ndoa zingine, inatambuliwa kisheria.
Mnafunga katika ofisi ya Mkuu wa wilaya na kukabidhiwa vyeti vya ndoa. Hakuna mbwe mbwe wala gharama. Ni nzuri sana. Mkizinguana, kila mtu anashika chake. Mali mlizotafuta ndani ya ndoa ndiyo mnagawana pasu kwa pasu.
Utakazomkuta nazo mwenzako zinabaki zake na wewe vivyo hivyo.
Naomba kujua sababu ya kumuoa aliyekua mke wako.Habari wakuu,
Nimeona leo nifunge naye ndoa baada ya kuishi nae tangu 9/2013.
GOD BLESS US
Maamuzi yenu. Kama mtavaa sawa. Kama mtaamua msivae poa pia.Ohoo hii ndiyo ndoa nzuri kuliko zote duniani, vipi wanavaa pete au ni pekupeku.
Asante sana mkuu.
Msharaha ndio kitu gani?Ndoa ya kiserikali ikoje kuna msharaha mwisho wa mwezi?
Naomba kujua undani wake.
Na mioyo yenuMaamuzi yenu. Kama mtavaa sawa. Kama mtaamua msivae poa pia.
Uhalali wa ndoa siyo pete, ni vyeti vyenu tu.
Maamuzi yenu. Kama mtavaa sawa. Kama mtaamua msivae poa pia.
Uhalali wa ndoa siyo pete, ni vyeti vyenu tu.
Mimi nimependa huu utaratibu hauna mbwembwe na ni utaratibu mzuri sana.Kuepusha heka heka wengi tufanyeni hivi.
Hapo umetafuta talaka ya haraka. Uzoefu unaonesha kuwa ukiishi I na mwanamke bila ndoa na baadaye ukaamua kufunga naye ndoa, mara nyingi ndoa hiyo kumaliza miezi mitatu ni kudra za mwenyeziHabari wakuu,
Nimeona leo nifunge naye ndoa baada ya kuishi nae tangu 9/2013.
GOD BLESS US
Sasa bora nini ndoa au kukaa bila ndoa?Hapo umetafuta talaka ya haraka. Uzoefu unaonesha kuwa ukiishi I na mwanamke bila ndoa na baadaye ukaamua kufunga naye ndoa, mara nyingi ndoa hiyo kumaliza miezi mitatu ni kudra za mwenyezi
Kaeni bila ndoa maana kisheria ni mke wako. Never try to satisfy them ni rahisi kukuchokaSasa bora nini ndoa au kukaa bila ndoa?
Ikifika kwenye suala la kuachana kama hamkufunga ndoa kuna uwezekano wa kupelekana mahakamani au mnayamaliza kikubwa.?Kaeni bila ndoa maana kisheria ni mke wako. Never try to satisfy them ni rahisi kukuchoka
Kwanini mnapenda kuwaza mambo ya kuachana?Ikifika kwenye suala la kuachana kama hamkufunga ndoa kuna uwezekano wa kupelekana mahakamani au mnayamaliza kikubwa.?