Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 278
- 447
Habari za mida hii wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Unakuta msichana anakupa namba vizuri, mnaongea vizuri tu ila linapokuja suala la kuonana sehem flan faragha au kuja ghetto anakupa iyo kauli "siku nikiwa free ntakwambia".
Baharia unaendelea kuisubiri iyo siku huku ukiwa unamjulia hali mara kadha wa kadha, lakini binti haongei chochote kuhusu iyo kauli yake.
Ukijaribu kukumbushia unapigwa kauli ileile "siku nikiwa free ntakwambia". Miezi inaendelea kukatika baharia unapigwa jibu hilohilo.
Kiukweli nyie mabinti mnatutesa sana na hii kauli yenu, kama haumtaki mtu ni bora umwambie moja kwa moja tu