msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
.....Wanaume tulichowazidi ni Kifua na Muscular Power but, Wanawake Wanavipawa vikubwa Sana No matter What?
..Hivi Wajuha wanawake wengi wanaweza Fanya kazi zaidi ya moja kwa wakati Mmoja,
Anaweza Kuwa Anapika, anamuangalia mtoto, anaangalia Tamthilia, sasa Wewe Jichanganye Pokea Simu Ya Sungura Tope wako Chumbani, basi Ujue Nayo anaisikiliza tena Kwa Umakini Mkubwa.
#WANAWAKE MNATISHA